Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

JF ni jukwaa huru kwahiyo mtu anapoamua kutoa story yake mheshimu maana ametumia muda na pesa (bando). Shida ya watu waananza kumshitumu.
Umepewa lift kwenye gari, unaanza kumfundisha aliyekupa msaada utafikiri umechangia mafuta.
Unafikiri watu, wanashinda JF muda wote? Watu wanafanya kazi kwahiyo usikute mtoa uzi anapata masaa 2 tu sasa na wewe unalazimisha andike story yote utafikiri unamlipa.
Hii tabia yawatu kuanzisha stori alafu awazimalizi imekua kero humu,mnafanya atawenye stori za Mana tuwapuzee,
 
Nimeanza kuamini huyu jamaa hii story ameitoa kwenye magroup ya whatsApp huko,ss kuna uwezekano ameleftishwa so ametafuta na yy sababu ya kuzira,mwanaume halisi hawezi kuwa na tabia za kuzira
 
Kwa tabia yako hii huwezi Ishi na watu wala ndugu vizuri
Kuishi kwa ndugu si haki, bali ni unyonyaji...zamani tuliita kupe!...... ni haki yao wakuibie au wakuletee majambazi kwa huo uzembe!....kwa sbabu unaua fikra zao taatibu!.....zinakuwa fikra tegemezi kwa hiyo iko siku watakuua!
 
Samahani tunaomba vya kwako kama ulichoandika uliandika ukiwa na akili timamu?
Natoa tu!! tena njoo nikupe!! kwani kazi niliombaje na nimeomba kampuni ngapi kwani!...zingine hata hawakujibu sasa wewe endelea kukificha, ukose kazi na hilo ri cheti kizae cheti kingine!!
 
"Oyaa Jafeeee,tumemaliza mwanangu. Afu mama kapendeza kinyama,daaaaah"
 
Natoa tu!! tena njoo nikupe!! kwani kazi niliombaje na nimeomba kampuni ngapi kwani!...zingine hata hawakujibu sasa wewe endelea kukificha, ukose kazi na hilo ri cheti kizae cheti kingine!!
Pole sana mdada mimi siishi huko ambapo mnategemea cheti kuombea kazi alafu kiwango changu cha elimu sio cha kuzunguka kwenye makampuni na sidhani hata kama una mpango wa kuifikia ila JIFUNZE KUISHI NA WATU
 
Kidagaa Uzi ushakufa imeishaa iyooo,
Mleta mada achana na hao wanao kuzingua just focus malizia story I trust u,kingine acha kusoma comments kama hauna moyo wa kuvumilia maneno ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…