Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Mtoa simulizi nilikwambia,ukifika sehemu ya demu iruke hujanielewa,unaona sasa yaan kwa kutaja demu tu ushaanza kupoteza ladha na watu pia wataanza tena kuitilia shaka hadthi yako kwasbb haingii akilini ngumu sana kuwaza mwanamke kwenye situation ile,hiyo moja , pili ni kwamba ulitumiwa hela 20000,simu ya makamu ulikuwa nayo wewe na uliulizwa una shngap ukasema huna hela so ile twenty uliotumiwa ulipokea kwa mtindo gani?
 
We naepunguza munkali,asidinde vipi?Basi maskini wasingezaana...na kuhusu Simu amesema ameuza,ila line kabaki na line zake!
 
-------SEHEMU YA KUMI NA MOJA - - - - - -

Nilipokula chipsi yai makamu akaja kuniletea maji ya kunywa nakunionyesha sehemu za muhimu kama Choo na bafu. Nikalala fofofo japo ni chini kwenye sakafu lakini usingizi ulikuwa mtamu sana kutokana na uchovu mzito niliokuwa nao tangu nimeondoka Dar Es Salaam sikuweza kulala kwenye chumba zaidi ya hapo shule ya sekondari chinongwe. Asubuhi palipopambazuka makamu akaendelea na majukumu yake maana ndomtu pekee alikuwa yupo karibu na mimi kwa wakati huo. Mida ya saa sita hivi mchana akaniita nahitajika ofisini mkuu wa shule kafika. Nilipoenda yule mkuu akasema aone vyeti baada ya hapo akaniambia je nipo kwa malipo au Bure?. Nikaona huu ni mtego hapa nisilete tamaa ikabidi nijibu shortly kama swali linavyouliza nikasema 'bure', wakatabasamu Kisha mkuu wa shule akasema kuwa ngoja aitishe kikao cha dharura na walimu wenzake halafu saa saba hivi nitaitwa kwahiyo nikatoka nikaenda chumbani nilipopewa hifadhi ya mda. Baada ya nusu saa tu nitaitwa yule mkuu kwa kigugumizi akasema walimu wenzake wamependa sana swala hili ila niwape mda wajipange maana siwezi kufundisha tu bure bila hata ya vocha hiyo ni Violance. Mimi nikawaka nikasema violence kiaje Kati mm ndonimeamua nisilipwe nyinyi msijali mm nitafundisha bure kwahiyo rekebisheni mazingira ya msosi tu maana pakulala tayari japo kuwa ni chini ya sakafu ili msijali.

Walipoona nimekuwa mkali wakajua kweli kijana kapondeka, kwahiyo mkuu akampigia simu Afisa elimu kata kwamba aje Kuna dharura, yule Afisa elimu kata alipofika wakaamuru nitoke ndani niwaache wajadili. Baada ya mda mfupi nikaitwa wakasema niwe mvumilivu watajitahidi kufanya kikao cha wazazi mwezi ujao kwahiyo niende nyumbani wataniita. Yule Afisa Elimu kata akasisitiza kuwa yeye ndie atashughulikia swala Hili la michango ya pesa kwa wazazi ili angalau niwe napata ya Sabuni maana vinginevyo sitaishi. Maisha bila pesa ni uongo aliongeza. Kuna mda inabidi kushuka chini tu kuepusha taflani maana nilikuwa ugenini hivyo ikabidi nikae tu kimya ila nilijua fika haya mambo yote huyu makamu JAFE ndokapenyeza. Baada ya mjadara mrefu nikakubali yule Afisa elimu kata akaondoka nae mkuu wa shule akasema twende kijijini cente nikapate chakula japo nilijua ni mbinu zakunipoza machungu. Awamu hii hata sikuwa na hamu ya chakula maana nilikereka sana nikajisemea hii ni laana au nini? Mbona mambo hovyo kiasi hiki shida nini. Anyway tukapanda kwenye pikipiki na mkuu wa shule mpaka center ya kijiji kufika pale mama ntilie hauzi kingine zaidi ya WALI NJUGU. nikaagiziwa sahani moja ya Wali njugu nikala nikashiba japo msosi ulikuwa local sana kama Wali maharage wa shule ya sekondari songea boys [emoji23][emoji23][emoji23].

Baada ya hapo akanirudisha shuleni niende nikapumzike ila tulipofika tu nikamwita yeye mkuu na makamu nikawaambia hali yangu ya kiuchumi sio nzuri na mfukoni nina buku tano tu hivyo kusafiri kesho ni uongo maana nauli Sina. Wakaniuliza kwani naenda wapi nikasema Dar Es Salaam ila nivumilieni nijaribu kuwaomba ndugu zangu pesa wakituma ndonitaondoka. Mkuu akasema Sawa wewe kaa tu hata siku 3 maana ugali utakuwa unakula huu wa wanafunzi, kumbe pale shuleni Kuna wanafunzi mchana wanakula palepale kwahiyo nitakuwa nachukua ugali wa kutosha mpaka nachajioni. Baada ya hapo mkuu akasepa tukabaki mm na makamu maana makamu anakaa hapo hapo shuleni kwenye Kota za walimu,yule makamu akawa anasema umeamini maneno yangu? Nilikwambia mapema hapa hakuna kitu huyu mkuu kakusumbua tuuu.

Mtihani uliokuwa mbele yangu ni sehemu ya kwenda baada ya hapo nilipo maana Sina jipya tena. Ilibidi niombe simu ya makamu nijaribu kuwapigia simu ndugu jamaa na marafiki kuomba msaada wa nauli. Makamu akanipa kisimu chake kidogo akasema nitumie kwa mda huo baadae atachukua nikasema poa. Jaribu huku na kule kuomba nauli lakini wapi. Sehemu ya kwenda sijajua ila nauli kwanza mengine yatafata. Mwisho wa siku ilibidi nipige simu kwa baba angu kijijini nimwambie ukweli wote, Ile kupiga tu akasema ni bora nimepiga maana kanitafuta sana hata hivyo anahitaji nimsaidie 5000 ya dawa jino lake bado linamsumbua sana. Machozi yalinitoka [emoji22].

Nikamwambia baba ebu kwanza avute pumzi Kisha nikasema ukweli wote wa yale yaliyonitokea sikumficha hata moja baada ya hapo nikamwambia nimekwama huku ruangwa kwenye miji ya watu akasema kwann sikumpa taarifa? Nikamwomba msamaha akaniambia nivumilie kidogo atanipa taarifa kama atafanikiwa, kumbe mle ndani kulikuwa Kuna debe nne za mahindi akaenda kuuza zote akanitumia 20000 halafu ndani wakabaki na Unga tu waliosaga siku mbili zilizopita. Nilisikitika sana ila sikuwa na option baada ya mda akapiga tena simu akasema nauli aliyotuma haitoshi kunifikisha kijijini kwetu kwahiyo amemuomba rafiki yake wa zamani sana yupo mlandizi sehemu moja inaitwa DOSA AZIZI niende huko kashaongea nae, nikamwambia anitumie namba zake akanitumia mda huohuo.

Nikiwa nipo kwenye mawazo mazito pamoja na kwamba nimetumiwa hiyo pesa ila najua niendako nitakuwa mzigo tu sitakuwa na msaada wowote lakini no way itabidi asubuhi niondoke tu. Ghafla makamu akaja kuchukua simu yake akauliza kama nimepata nauli nikamwambia hapana, nilikataa kwa kuwa nilikuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo maana nimekumbuka sana. Alipochukuwa simu yake akaondoka, midaa ya saa mbili hivi usiku Kuna mtoto flani wa kike kanakaa kwenye hizo Kota za walimu kaliingia kwenye mjengo nilimo mimi kakaenda uwani haraka Kuna kitu kalienda kuchukua Ile kanataka kutoka namm nikakaita mlangoni Kwangu Ile kukiita tu kumbe mama ake alikuwa anaona mwanzo mwisho kale kabinti kakawa kanaona aibu kunitazama namm nikakashika mkono nikaona kamelegea, ghafla nikasikia sauti nzito inaita WE MARIAM lahaulaaa alikuwa ni yule madam muiraki kumbe huyu ni mtoto wake wakumzaa.

Niliposkia tu hiyo sauti moyo ulienda mbio kutazama ni yule madam nae makamu akawa ametoka nje kuongea na simu ikabidi nikaachie mkono kale kabinti yule madam akaongea kwa sauti "we mkaka kumbe umekuja huku kubaka watoto zetu?. Nikajisemea moyoni" Nilidhani yamekwisha kumbe ndoyanaanza", Kiukweli tamaa iliniponza tu haka kabinti tangu asubuhi nilikuwa nakamezea sana mate ni kirefu kiasi cheupe kama unawajua wamburu walivyo lakini pia kana kishepu kiasi hakana tumbo kabisa yani kamekatika, kwahiyo kalipopita kuchukua ule mpira nadhani wanachezaga netball mimi nikasema haka Katoto bado kamoto nikikafunua hata dakika mbili hazifiki nishamaliza kazi maana papuchi yake ni tofauti na Ile miji mama inayosimama pale buguruni sokoni usiku. Mambo ya kabadilika yule binti akaitwa akaanza kupokea kichapo cha kufa mtu mpaka makamu akaenda kumpokonya fimbo yule madamu, makamu akauliza nini shida? Akaambiwa kila kitu kilichofanyika baina yangu na mtoto wake. Yule mtoto approximately Ana miaka 16 au 17 hivi.

Makamu baada ya kuambiwa hivyo akaja moja kwa moja Kwangu anafoka, kumbe ndonia yako we mbwa, fataki firauni weeee sijakaa Sawa akaniwasha kerebu moja nzito sana kwenye shavu na mitama, pamoja na hayo yote sikutaka kabisa kupaniki maana wangepiga kayowi nikajaziwa kijiji. Nikaona yule madam kachukua simu akawa anampigia simu mkuu wa shule nae pia makamu anapiga kwa huyo huyo mkuu wa shule, nikasema Leo ngoma hii sio nyepesi nimelikoroga. Pressure ilinipanda sana japo nilijua hii kesi haifiki mbali maana siku fanya nae simple harmonic motion. Kwahiyo makerere yote yale nilijua ni vita ya mieleka tu sio urusi na Ukraine.

Dakika kadhaa nikaona mkuu wa shule kafika na pikipiki anahema kama kakimbizwa nikaona ghafla Kwangu kanishika Shati huku anauliza kwa jaziba kwanini nimebaka, nilicheka kidogo japo kwa fedheha, ni kapigwa kofi kwenye lile lile shavu nililopigwa kerebu na makamu mpaka nikahisi kama pamevimba. Nikajibu kwa upole kuwa sijabaka huyu madam katukuta tumeshikana tu mikono tena sio chumbani ni hapa kwenye mlango wa chumba changu. Wote wakiwa kwenye taharuki nikaona makamu kistarabu akamwita mkuu wa shule pembeni wakateta kwa dk kumi hivi Kisha wakaniita wakaniuliza nina bei gani mfukoni?. Nikawa jibu nina 5000 nikaona yule makamu anatoa 20000 mfukoni kwake akanipa akasema kwenye ISHU za wanafunzi wako very serious na mwanafunzi yoyote atakae Pata ujauzito huwa wanawekwa kwenye wakati mugumu sana na wakubwa zao ikiwemo maafisa elimu na wakurugenzi kwahiyo hilo jambo nililotaka kulifanya ilikuwa ni hatari Sana. Wakaniambia huyu madam hanaga dogo kesho asubuhi anaweza kufikisha hili swala kwenye kamati ya nidhamu kuhusu uwepo wa kibaka kwenye shule hii kwahiyo beba begi Lako usiku huu yani mida hii tunayozungumza uwe umeondoka tunaamini wewe ni mwanaume utajua mbele ya safari, asubuhi Kuna Bus la linaitwa MACHINGA huwa linapita hii barabara linatokea NACHINGWEA linaenda Dar Es Salaam asubuhi utapanda uende kwenu kwahiyo nenda ndani beba vitu vyako uondoke. Wote watatu walionekana kujaa upepo na jazba kupita kiasi, nikaingia ndani nikabeba begi usiku wa saa nne nikaondoka kwenye eneo lile mbaya zaidi ni kijijini pamepoa sana mida hiyo ni kerere za chura tu ndozinasikika basi.

......... Inaendelea usichoke.......
Kwa matatizo yote uliyokuwa nayo bado ulikuwa na nyege?
 
Mtoa simulizi nilikwambia,ukifika sehemu ya demu iruke hujanielewa,unaona sasa yaan kwa kutaja demu tu ushaanza kupoteza ladha na watu pia wataanza tena kuitilia shaka hadthi yako kwasbb haingii akilini ngumu sana kuwaza mwanamke kwenye situation ile,hiyo moja , pili ni kwamba ulitumiwa hela 20000,simu ya makamu ulikuwa nayo wewe na uliulizwa una shngap ukasema huna hela so ile twenty uliotumiwa ulipokea kwa mtindo gani?
Inawezekana maana kuna wayahudi walikuwa wamewekwa kwenye kambi wakisubiri kuuawa, walikuwa wamechanganywa na wanawake ila wakawa wanapigana mambo

Halafu pia jamaa alikuwa katumiwa 20k na mzee wake, alikuwa amehakikishiwa kupata chakula na sehemu ya kulala kwa siku kadhaa, so stress zilikuwa zimeshuka kiasi cha kutosha kuwa na nyege 😂😂
 
-------SEHEMU YA KUMI - - - - - - -

Aiponiambia nirudi halafu wale wageni wakiondoka ataniita mm nikamwambia Sina simu utaniita vp? Akasema basi niwe namuuliza mara kwa mara lakini bado sikuweza kukubali kirahisi maana nikahisi labda wananichezea akili hawa japo sio kweli mpaka ilifika mda ikabidi nimuulize kwanini huyo kijana alikubali ilihali anajua atapokea wageni, mkuu alijibu kuwa hakupata mawasiliano na yeye maana huyo kijana anakaa kwenye Vyumba viwili na wiki chache alisema tukipata mwalimu chumba kipo ila baada ya hapo Jana usiku kumpa taarifa akasema anaugeni na hajui watatoka lini pale. Nilimwambia ukweli kwamba nimechukia na mdaa sielewi naenda wapi maana huku mimi ni mgeni.

Baada ya kuonyesha uso wa simanzi nikaona kachukua simu yake akampigia mwalimu mmoja hivi shule inaitwa Mwitero sekondari kama sijakosea kwa mjibu wa maelezo yake ila huyo mwalimu akasema shida ni accommodation. Akampigia tena mkuu wa shule flani inaitwa CHINONGWE SEKONDARI nikasikia anasema mwambie aje maana hapa nina mwalimu mmoja tu waphysics, nilisikia maana alikuwa ameweka loud speaker, baada ya hapo nikamwambia siendi mpaka anihakikishie asilimia mia kuwa nikifika siondoki halafu amwambie na level yangu ya elimu kuwa ni form six. Mkuu wa shule akachukua simu akampigia tena akamwambia kila kitu akasema niende.

Baada ya hapo nikiwa nimechoka sana ilibidi nimuage mkuu wa shule ya sekondari kineng'ene kuwa naondoka namtakia kila raheli. Akasema nimsamehe kwa usumbufu hivyo nikachukua namba ya yule mwalimu wa shule ya sekondari CHINONGWE nikaondoka zangu. Huyu mkuu wa kineng'ene alisema CHINONGWE sio mbali sana ipo wilaya ya RUANGWA kwakina Kassim majaliwa Kassim sikuleta ubishii kwa kuwa sipajui. Ikanibidi niende mpaka pale barabarani nikasema hapana hapa lazima Niite bodaboda kwakweli inipeleke mpaka main road yaani mtange. Kuna dogo mmoja akapita na pikipiki nikamuuliza kijanja unaenda wapi akasema mtange nikamwambia nipe lift basi dogo akasema nimpe buku tu, nikamwambia poa tuondoke. Huu mda nilikuwa na hasira za ghafla sana kutokana na mambo tu ya hovyo yanavyoniandama, mda si mwingi tukafika mtange nikashuka.

Nikataka kupanda hiace za kwenda town ili nikadake gari za kwenda luangwa lakini nikasema ngoja niulize huenda njia nihiihii. Nikamwomba yule dogo tuliekuja nae kwenye pikipiki aniazime simu yake nimpigie huyo mkuu wa shule ya sekondari CHINONGWE anipe maelekezo ya kutosha nafikaje huko. Nikapiga simu akasema shule ipo wilaya ya RUANGWA lakini nisipande Costa zakwenda huko maana shule ipo mbali sana na wilaya badala yake nipande Gari za MASASI nishukie NDANDA halafu baada ya hapo nimpigie simu atanipa maelekezo. Baada ya hapo dogo akasema nisubiri hapa hapa gari za masasi zitapita, kweli baada ya dk chache ikaja Costa ya kwenda masasi nikauliza nauli konda akasema 4000 nikaguna kidogo nikamwambia nashukia NDANDA akasema ni 4000 nikaona isiwe tabu nikapanda safari ikaanza. Masaa mawili hivi baadae tukafika ndanda nikashuka. Nikawa nimebakiwa na buku teni tu mfukoni (10000).kufika ndanda nikamfata jamaa mmoja alikuwa anauza mahindi ya kuchoma kandokando ya barabara Nikamwomba simu yake nimpigie huyo mkuu wa shule ya CHINONGWE anipe maelekezo jamaa akasema simu yake haina salio ila bahati nzuri kulikuwa Kuna mteja anasubiri hindi pale akadakia akasema taja namba tumpigie. Nilipompigia akasema Kuna dreva bodaboda anamtuma mda si mwingi yupo hapa ndanda aje kunichukua kwa hiyo nisubiri kwa huyu muuza mahindi nanimwambie nimevaaje ili amuelekeze huyo bodaboda ila nisiondoke kwa huyu muuza mahindi atanikuta.

Kweli baada ya nusu saa jamaa akatokea alivyofika tu akasema Kuna jamaa nimekuja kumchukua anaenda kijiji kinaitwa CHINONGWE nikamwambia ni mimi hapa. Tukapanda kuelekea CHINONGWE, huko ni mbali sana halafu barabara niyavumbi usafiri ni shida maana ipo Costa moja tu inayopita njia hiyo kwenda nachingwea na ikipita hakuna tena usafiri zaidi ya bodaboda, kwa mujibu wa huyo bodaboda alivyosema. Ilikuwa ni safari ndefu mno yenye mabonde mengi Sana lakini mida ya saa kumi na moja jioni tulifanikiwa kufika chinongwe sekondari. Baada ya kufika mkuu wa shule akapigiwa simu na bodaboda ili apewe malipo yake yule mkuu akasema mwambie huyo kijana akupe mm hapa niko mbali na pesa Sina pia. Yani hapa ndonilichoka bodaboda akasema huwa ni 10000 ila kwa huyu mwalimu huwa anamfanyia 7000 nikasema mm Sina pesa jamani huku nikionyesha uso wa huzuni na majanga. Jamaa akapiga simu tena, mkuu wa shule akasema nitoe 5000 elfu mbili watamalizana wao. Ikabidi nilipe 5000 nikabaki na buku tano tu mfukoni.

Nilipofika kumbe mkuu wa shule alikuwa amemwambia makamu wa shule aje anipokee. Makamu wa shule ya sekondari chinongwe aliyefahamika kwa jina la JAFE akaja kunipokea akasema tuingie ofisini. Huyu makamu alikuwa mbinafsi sana afu ana katisha tamaa lakini mbeleni nitaeleza alivyokuja kunisaidia. Makamu akaenda nje kumwita mwalimu flani alikuwa anasimamia ujenzi wa shule na mwalimu flani hivi ni mdada wakiiraki au wamburu wa babati, walipokuja makamu akasema jamani tuna mgeni lakini huyu mgeni atakuwa analipwa na nani hapa?. Mimi nikadakia nikamwambia mm staki malipo ila nipate pakula na kulala tu, wakacheka ila mm nilikuwa very serious maana sikutaka kabisa masihala tena. Yule makamu akawa anamlaumu mkuu wa shule akisema huyu kijana atatufedhehesha tu maana hana simu, pesa ya sabuni ataipata wapi, pesa ya mafuta na mengineyo na wewe unaogopaga kuchangisha wazazi kulinda nafasi yako. Mizozo ilipoanza nikaona yule madamu wakiiraki akasema jamani huyu mkaka anaonekana uso ni mzito kachoka sana na mda huu ni saa moja kasoro ebu tumtafutie sehemu ya kulala.

Yule madamu akaenda kufanya usafi nikatandikiwa nguo kwenye sakafu maana walisema hawakupewa taarifa mapema hivyo godoro hamna mm nikasema haina shida. Nikiwa nimelala njaa inaniponda usiku wa saa nne hivi naona makamu anasukuma mlango maana hauna komeo kutokana na kile chumba kina mda hakina mtu hivyo hakikufanyiwa matengenezo. Alipokuja akasema mimi nakushauri hapa uondoke kijana hii shule mm ndomkongwe hata huyu mkuu kanikuta, hii shule haina rasilimali yoyote utaishije humu bila pesa??. Sikutaka kumjibu zaidi ya kuwa kimya ghafla nikaona sauti ya pikipiki mjengoni makamu akaenda nje kupokea mzigo flani mwenye pikipiki akasepa. Kumbe zilikuwa CHIPSI YAI aliniagizia nikala nilipokula akasema nipumzike ila asubuhi nifanye mchakato kwingine pale hapanifai maana huyu mkuu wa shule anakurupukaga bila kuwashirikisha na hata hivyo nitafedheheka mbele ya wanafunzi maana ukiwa huna pesa unaonekana tu. Mimi nikalala kusubiri kesho yake tuzungumze yote mbele ya mkuu wa shule alienihakikishia kwa asilimia mia kuwa sitaondoka.

....... Inaendelea usichoke......
Bro nimekuamini maana haya maeneo unayotaja nayafaham yote na hiyo shule ya Chinongwe naifaham vizuri...Pole sana bro
 
-------SEHEMU YA KUMI NA MOJA - - - - - -

Nilipokula chipsi yai makamu akaja kuniletea maji ya kunywa nakunionyesha sehemu za muhimu kama Choo na bafu. Nikalala fofofo japo ni chini kwenye sakafu lakini usingizi ulikuwa mtamu sana kutokana na uchovu mzito niliokuwa nao tangu nimeondoka Dar Es Salaam sikuweza kulala kwenye chumba zaidi ya hapo shule ya sekondari chinongwe. Asubuhi palipopambazuka makamu akaendelea na majukumu yake maana ndomtu pekee alikuwa yupo karibu na mimi kwa wakati huo. Mida ya saa sita hivi mchana akaniita nahitajika ofisini mkuu wa shule kafika. Nilipoenda yule mkuu akasema aone vyeti baada ya hapo akaniambia je nipo kwa malipo au Bure?. Nikaona huu ni mtego hapa nisilete tamaa ikabidi nijibu shortly kama swali linavyouliza nikasema 'bure', wakatabasamu Kisha mkuu wa shule akasema kuwa ngoja aitishe kikao cha dharura na walimu wenzake halafu saa saba hivi nitaitwa kwahiyo nikatoka nikaenda chumbani nilipopewa hifadhi ya mda. Baada ya nusu saa tu nitaitwa yule mkuu kwa kigugumizi akasema walimu wenzake wamependa sana swala hili ila niwape mda wajipange maana siwezi kufundisha tu bure bila hata ya vocha hiyo ni Violance. Mimi nikawaka nikasema violence kiaje Kati mm ndonimeamua nisilipwe nyinyi msijali mm nitafundisha bure kwahiyo rekebisheni mazingira ya msosi tu maana pakulala tayari japo kuwa ni chini ya sakafu ili msijali.

Walipoona nimekuwa mkali wakajua kweli kijana kapondeka, kwahiyo mkuu akampigia simu Afisa elimu kata kwamba aje Kuna dharura, yule Afisa elimu kata alipofika wakaamuru nitoke ndani niwaache wajadili. Baada ya mda mfupi nikaitwa wakasema niwe mvumilivu watajitahidi kufanya kikao cha wazazi mwezi ujao kwahiyo niende nyumbani wataniita. Yule Afisa Elimu kata akasisitiza kuwa yeye ndie atashughulikia swala Hili la michango ya pesa kwa wazazi ili angalau niwe napata ya Sabuni maana vinginevyo sitaishi. Maisha bila pesa ni uongo aliongeza. Kuna mda inabidi kushuka chini tu kuepusha taflani maana nilikuwa ugenini hivyo ikabidi nikae tu kimya ila nilijua fika haya mambo yote huyu makamu JAFE ndokapenyeza. Baada ya mjadara mrefu nikakubali yule Afisa elimu kata akaondoka nae mkuu wa shule akasema twende kijijini cente nikapate chakula japo nilijua ni mbinu zakunipoza machungu. Awamu hii hata sikuwa na hamu ya chakula maana nilikereka sana nikajisemea hii ni laana au nini? Mbona mambo hovyo kiasi hiki shida nini. Anyway tukapanda kwenye pikipiki na mkuu wa shule mpaka center ya kijiji kufika pale mama ntilie hauzi kingine zaidi ya WALI NJUGU. nikaagiziwa sahani moja ya Wali njugu nikala nikashiba japo msosi ulikuwa local sana kama Wali maharage wa shule ya sekondari songea boys [emoji23][emoji23][emoji23].

Baada ya hapo akanirudisha shuleni niende nikapumzike ila tulipofika tu nikamwita yeye mkuu na makamu nikawaambia hali yangu ya kiuchumi sio nzuri na mfukoni nina buku tano tu hivyo kusafiri kesho ni uongo maana nauli Sina. Wakaniuliza kwani naenda wapi nikasema Dar Es Salaam ila nivumilieni nijaribu kuwaomba ndugu zangu pesa wakituma ndonitaondoka. Mkuu akasema Sawa wewe kaa tu hata siku 3 maana ugali utakuwa unakula huu wa wanafunzi, kumbe pale shuleni Kuna wanafunzi mchana wanakula palepale kwahiyo nitakuwa nachukua ugali wa kutosha mpaka nachajioni. Baada ya hapo mkuu akasepa tukabaki mm na makamu maana makamu anakaa hapo hapo shuleni kwenye Kota za walimu,yule makamu akawa anasema umeamini maneno yangu? Nilikwambia mapema hapa hakuna kitu huyu mkuu kakusumbua tuuu.

Mtihani uliokuwa mbele yangu ni sehemu ya kwenda baada ya hapo nilipo maana Sina jipya tena. Ilibidi niombe simu ya makamu nijaribu kuwapigia simu ndugu jamaa na marafiki kuomba msaada wa nauli. Makamu akanipa kisimu chake kidogo akasema nitumie kwa mda huo baadae atachukua nikasema poa. Jaribu huku na kule kuomba nauli lakini wapi. Sehemu ya kwenda sijajua ila nauli kwanza mengine yatafata. Mwisho wa siku ilibidi nipige simu kwa baba angu kijijini nimwambie ukweli wote, Ile kupiga tu akasema ni bora nimepiga maana kanitafuta sana hata hivyo anahitaji nimsaidie 5000 ya dawa jino lake bado linamsumbua sana. Machozi yalinitoka [emoji22].

Nikamwambia baba ebu kwanza avute pumzi Kisha nikasema ukweli wote wa yale yaliyonitokea sikumficha hata moja baada ya hapo nikamwambia nimekwama huku ruangwa kwenye miji ya watu akasema kwann sikumpa taarifa? Nikamwomba msamaha akaniambia nivumilie kidogo atanipa taarifa kama atafanikiwa, kumbe mle ndani kulikuwa Kuna debe nne za mahindi akaenda kuuza zote akanitumia 20000 halafu ndani wakabaki na Unga tu waliosaga siku mbili zilizopita. Nilisikitika sana ila sikuwa na option baada ya mda akapiga tena simu akasema nauli aliyotuma haitoshi kunifikisha kijijini kwetu kwahiyo amemuomba rafiki yake wa zamani sana yupo mlandizi sehemu moja inaitwa DOSA AZIZI niende huko kashaongea nae, nikamwambia anitumie namba zake akanitumia mda huohuo.

Nikiwa nipo kwenye mawazo mazito pamoja na kwamba nimetumiwa hiyo pesa ila najua niendako nitakuwa mzigo tu sitakuwa na msaada wowote lakini no way itabidi asubuhi niondoke tu. Ghafla makamu akaja kuchukua simu yake akauliza kama nimepata nauli nikamwambia hapana, nilikataa kwa kuwa nilikuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo maana nimekumbuka sana. Alipochukuwa simu yake akaondoka, midaa ya saa mbili hivi usiku Kuna mtoto flani wa kike kanakaa kwenye hizo Kota za walimu kaliingia kwenye mjengo nilimo mimi kakaenda uwani haraka Kuna kitu kalienda kuchukua Ile kanataka kutoka namm nikakaita mlangoni Kwangu Ile kukiita tu kumbe mama ake alikuwa anaona mwanzo mwisho kale kabinti kakawa kanaona aibu kunitazama namm nikakashika mkono nikaona kamelegea, ghafla nikasikia sauti nzito inaita WE MARIAM lahaulaaa alikuwa ni yule madam muiraki kumbe huyu ni mtoto wake wakumzaa.

Niliposkia tu hiyo sauti moyo ulienda mbio kutazama ni yule madam nae makamu akawa ametoka nje kuongea na simu ikabidi nikaachie mkono kale kabinti yule madam akaongea kwa sauti "we mkaka kumbe umekuja huku kubaka watoto zetu?. Nikajisemea moyoni" Nilidhani yamekwisha kumbe ndoyanaanza", Kiukweli tamaa iliniponza tu haka kabinti tangu asubuhi nilikuwa nakamezea sana mate ni kirefu kiasi cheupe kama unawajua wamburu walivyo lakini pia kana kishepu kiasi hakana tumbo kabisa yani kamekatika, kwahiyo kalipopita kuchukua ule mpira nadhani wanachezaga netball mimi nikasema haka Katoto bado kamoto nikikafunua hata dakika mbili hazifiki nishamaliza kazi maana papuchi yake ni tofauti na Ile miji mama inayosimama pale buguruni sokoni usiku. Mambo ya kabadilika yule binti akaitwa akaanza kupokea kichapo cha kufa mtu mpaka makamu akaenda kumpokonya fimbo yule madamu, makamu akauliza nini shida? Akaambiwa kila kitu kilichofanyika baina yangu na mtoto wake. Yule mtoto approximately Ana miaka 16 au 17 hivi.

Makamu baada ya kuambiwa hivyo akaja moja kwa moja Kwangu anafoka, kumbe ndonia yako we mbwa, fataki firauni weeee sijakaa Sawa akaniwasha kerebu moja nzito sana kwenye shavu na mitama, pamoja na hayo yote sikutaka kabisa kupaniki maana wangepiga kayowi nikajaziwa kijiji. Nikaona yule madam kachukua simu akawa anampigia simu mkuu wa shule nae pia makamu anapiga kwa huyo huyo mkuu wa shule, nikasema Leo ngoma hii sio nyepesi nimelikoroga. Pressure ilinipanda sana japo nilijua hii kesi haifiki mbali maana siku fanya nae simple harmonic motion. Kwahiyo makerere yote yale nilijua ni vita ya mieleka tu sio urusi na Ukraine.

Dakika kadhaa nikaona mkuu wa shule kafika na pikipiki anahema kama kakimbizwa nikaona ghafla Kwangu kanishika Shati huku anauliza kwa jaziba kwanini nimebaka, nilicheka kidogo japo kwa fedheha, ni kapigwa kofi kwenye lile lile shavu nililopigwa kerebu na makamu mpaka nikahisi kama pamevimba. Nikajibu kwa upole kuwa sijabaka huyu madam katukuta tumeshikana tu mikono tena sio chumbani ni hapa kwenye mlango wa chumba changu. Wote wakiwa kwenye taharuki nikaona makamu kistarabu akamwita mkuu wa shule pembeni wakateta kwa dk kumi hivi Kisha wakaniita wakaniuliza nina bei gani mfukoni?. Nikawa jibu nina 5000 nikaona yule makamu anatoa 20000 mfukoni kwake akanipa akasema kwenye ISHU za wanafunzi wako very serious na mwanafunzi yoyote atakae Pata ujauzito huwa wanawekwa kwenye wakati mugumu sana na wakubwa zao ikiwemo maafisa elimu na wakurugenzi kwahiyo hilo jambo nililotaka kulifanya ilikuwa ni hatari Sana. Wakaniambia huyu madam hanaga dogo kesho asubuhi anaweza kufikisha hili swala kwenye kamati ya nidhamu kuhusu uwepo wa kibaka kwenye shule hii kwahiyo beba begi Lako usiku huu yani mida hii tunayozungumza uwe umeondoka tunaamini wewe ni mwanaume utajua mbele ya safari, asubuhi Kuna Bus la linaitwa MACHINGA huwa linapita hii barabara linatokea NACHINGWEA linaenda Dar Es Salaam asubuhi utapanda uende kwenu kwahiyo nenda ndani beba vitu vyako uondoke. Wote watatu walionekana kujaa upepo na jazba kupita kiasi, nikaingia ndani nikabeba begi usiku wa saa nne nikaondoka kwenye eneo lile mbaya zaidi ni kijijini pamepoa sana mida hiyo ni kerere za chura tu ndozinasikika basi.

......... Inaendelea usichoke.......
Hahaha Machinga!! ni kweli mkuu machinga linapitaga,luchelegwa,mbecha huko linaenda kutokea nanganga linaunga Lindi mpaka Dsm...Pole ila ukiwa ugenini jitahidi usiingize tamaa za kimwili
 
Mtoa simulizi nilikwambia,ukifika sehemu ya demu iruke hujanielewa,unaona sasa yaan kwa kutaja demu tu ushaanza kupoteza ladha na watu pia wataanza tena kuitilia shaka hadthi yako kwasbb haingii akilini ngumu sana kuwaza mwanamke kwenye situation ile,hiyo moja , pili ni kwamba ulitumiwa hela 20000,simu ya makamu ulikuwa nayo wewe na uliulizwa una shngap ukasema huna hela so ile twenty uliotumiwa ulipokea kwa mtindo gani?
Kwanini niiruke Kati ni moja ya tukio Zito halafu pesa nilitumiwa kwenye line yangu ndio maana aliponipa simu ndogo nilikaa nayo kwa mda ni kaweka line humo ndokuna namba nyingi za ndugu jamaa na marafiki niliokuwa nikiwapigia kuomba msaada, alipokuja makamu nikachomoa line yangu nikampa simu yake
 
Dah! Ukiona mtu anaomba lift Kwa Bodaboda ujue kweli Yuko serious, nimejikuta nacheka na kuhuzunika Kwa pamoja.

Kwamba ukiwa hauna pesa unajulikana tu.

Hii stori inanikumbusha siku naenda kuanza kidato Cha sita Moshi nikitokea Kanda ya kati kupitia Arusha, sitasahau maishani mwangu. Nimefika Arusha nikalala kesho yake nikutane na ndugu yangu anaetokea Dar kuniletea pesa za ada na matumizi, kumpigia Kwa zile box za ttcl, ananiambia nishushe Dar, hatoweza kuja Arusha...hapo nna pesa ambayo nililala guest tu, nakosa nauli ya kwenda Dar

Niliadhimia kulala nje ili nibanie pesa ya kulala guest inisaidie nauli kesho yake. Nikadhania stand ya Arusha watu wanakesha ili nijumuike nao Hadi asubuhi, kumbe pale watu hawakeshi. Nikajitutumua nikapiga kahawa kutoa usingizi na kupunguza machungu ya baridi.

Watu walianza kupungua nikabaki peke yangu, nikawa nakatiza mitaa kama ntabahatisha sehem kijiwe nikeshe, wapi. Ikafika mahala nakutana na polisi wa doria na mbwa, nikaona hapa ntaishia lockup.

Ilipofikia saa nane kasoro usiku, nimepigwa na baridi, nilivaa t-shirt tu, nikafanya maamuzi ya kutafuta guest house nilale, sikuwaza Tena mambo ya nauli. Nilihangaika sana guest zilikua zimejaa. Nikaja kupata njia ya kuelekea Ilboru. Ilibaki chumba kina vitanda vitatu, Kwa hasira nililala Cha kwanza, nikaenda Cha pili, nikamalizie Cha tatu, wakati naingia yule Mama mhudumu ananiambia Kuna maji ya kuoga ya moto, sikumbuki nilimjibu kitu Gani lakini sikuoga Wala kutoka Tena Hadi asubuhi.

Kesho yake Nimeenda stand, nauli Sina, nawaza niongee na makondakta nikifika Dar niwasiliane na ndugu niletewe nauli niwaachie bag. Kila nikiwaza Hilo Wazo ujasiri unaniishia, sikuweza kuondoka. Nikaamua kuwa mtalii natembea bila kujua naelekea wapi, nilijikuta Kijenge huko ndio muujiza wangu ulipokua. kilichotokea Mungu alikua na makusudi yake.

Ni kitu kimenifanya Hadi Leo mtu akiniambia ana shida/ tatizo nimsikilize Kwa kutulia.

Sikwenda Dar nilipotakiwa kufuata pesa za ada na matumizi, nilijikuta nimefika sehem sahihi hapo hapo Arusha, nikaambiwa nisubirie ntaletwa Kila kitu kabla ya kuelekea shule Moshi. Nilikua naambiwa ingia ndani, naogopa nataka nikae chini. Yaani matatizo yaliyonipata na zile shida naona kama Kila mtu anajua yaliyonipata na hadhi yangu sistahili hata kuingia kwenye nyumba ya watu.

Jioni najifanya kuaga utafikiri nna pakwenda, ndio nikaambiwa tumeambiwa usiondoke Hadi utakapoletewa vitu vyako.

Mwisho, ukipata nafasi ya kumsaidia mtu Kwa namna yeyote Ile, na ukaona kabisa unapata msukumo moyoni mwako, Fanya hivyo. Usijiulize maswali mengi sana ( sikiliza moyo unasemaje) akikutapeli mwachie Mungu tu, itakua umefanya Kwa nafasi Yako.
Hao waliokusaidia hapo Kijenge walikuwa ni ndugu zako?

Inaonekana ndugu yako wa Dar hakuwa muaninifu eeeh?
 
Back
Top Bottom