Sitosahau Siku niliyobeba gunia la maiti, nikizani ni samaki

Sitokuja kusahau Mwaka , 2017...baada yakuwa nimehitimu chuo.

NilNiliamua kutafta kibarua chochote ....hill kujiingizia kipato...lakini ....mipango yote ikabuma kama sio kufifia.

Baadae nikaona kwakuwa nina Umbo flani , mwili nyumba....nikajua hapa, nikiomba Kibarua cha kulinda sikosi..

Basi..baada ya siku ..kama Mbili nikaanza kufight kukipata kibarua...lakini sikufanikiwa kupata...kampuni..ambayo inalipa vizuri.... ,Nikabidi nijiunge kwenye kampuni X ambyo mshahara wake ulikuwa , kama elf 90 per month.

Baada yakuanza ajira yangu mpya kwa , msoto mkali nakufanikiwa kupata mshahara wangu wa kwanza.

Nikaona nianze kuwa nanua samaki kwenye ziwa Asubuhi then mchana natembeza kwenye beseni , majumbani mwawatu.

STORI YAKUBEBA MAITI INAANZA HAPA.

kutokana na tamaa za pesa, siku moja nimekwenda ziwani kununua samaki..nikakutana na gunia kubwa limefungwa vizuri likinukia harufu ya samaki wabichi.

Hapo ndipo akili ilinituma kuwa huu mzigo umeibiwa ndo maana umefichwa , basi, niliamua kuubeba kichwani hili niondoke nao, nikaanze maisha mapya yenye nafuu.

Mara naona mzigo umekuwa mzito mithili ya chuma....basi ...nikajipa moyo ...kwamba samaki waliomo ndani ya gunia niwengi sana ,

Ndipo nilipoamua kufungua gunia hili nitenganishe nusu kwa nusu......ndipo Mara paap!!!!! Nakutana navipande pande vya maiti Aiseeee.....nilikimbia speed 100 ...nakuamaua kuhama hule mji ....nakujikita kwenye shughuli tena za ulinzi.

To...be honest life is not easy.
Axa urongo we jamaa hukuhis kixwa xa mtu au hukuhis mtalimbo ndani ya gunia was huyo jamaa!!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kile kijamaa kichizi sana, nimeona nyuzi zake nimeishia kuwa mtazamaji. [emoji3] [emoji3]

Leo kaja na uzi wa ku-inspire vijana wa Dar sasa huo ushauri wake uchuro utupu.
Hahaha ngoja nikaupitie ili mapafu yangu yachuje hewa kwa haraka😂😂
 
Unabahati sana maishani ww! Kesi kuua ungeisotea hadi mahabusu zibomoke.
 
Sitokuja kusahau Mwaka, 2017 baada yakuwa nimehitimu chuo.

Nililiamua kutafta kibarua chochote ....hill kujiingizia kipato...lakini ....mipango yote ikabuma kama sio kufifia.

Baadae nikaona kwakuwa nina Umbo fulani, mwili nyumba....nikajua hapa, nikiomba Kibarua cha kulinda sikosi..

Basi..baada ya siku ..kama Mbili nikaanza kufight kukipata kibarua...lakini sikufanikiwa kupata...kampuni..ambayo inalipa vizuri, Nikabidi nijiunge kwenye kampuni X ambyo mshahara wake ulikuwa , kama elf 90 per month.

Baada yakuanza ajira yangu mpya kwa , msoto mkali nakufanikiwa kupata mshahara wangu wa kwanza.

Nikaona nianze kuwa nanua samaki kwenye ziwa Asubuhi then mchana natembeza kwenye beseni , majumbani mwawatu.

STORI YAKUBEBA MAITI INAANZA HAPA
kutokana na tamaa za pesa, siku moja nimekwenda ziwani kununua samaki..nikakutana na gunia kubwa limefungwa vizuri likinukia harufu ya samaki wabichi.

Hapo ndipo akili ilinituma kuwa huu mzigo umeibiwa ndo maana umefichwa, basi, niliamua kuubeba kichwani hili niondoke nao, nikaanze maisha mapya yenye nafuu.

Mara naona mzigo umekuwa mzito mithili ya chuma....basi ...nikajipa moyo ...kwamba samaki waliomo ndani ya gunia niwengi sana ,

Ndipo nilipoamua kufungua gunia hili nitenganishe nusu kwa nusu......ndipo Mara paap!!!!! Nakutana navipande pande vya maiti Aiseeee.....nilikimbia speed 100 ...nakuamaua kuhama ule mji ....nakujikita kwenye shughuli tena za ulinzi.

To be honest life is not easy.
Mlinzi uliamua kuiba! Nina imani wauaji walipata ahueni ya kuondoshewa ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukufuatilia hata kujua chonzo cha hiyo maiti

Hapa kuna chai tena ya rangi. Nimegundua baada ya kusoma ' vipande vya maiti' how? Kwamba maiti ilikuwa imekatwakatwa vipande au ilikuwa imeoza? Hakuna logic hapa , ingekuwa imeoza harufu yake tu usingesogelea gunia na ingekuwa imekatwa vipande ungegundua kwa maji maji (rigormortice?) kukuchuruzikia so ukome kutunywesha black tea. Sawa?
 
Back
Top Bottom