Napoleone JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 10,087 Reaction score 16,036 May 29, 2020 #101 Sitosahau semista ya kwanza udsm mwkaa wa kwanza 2009 nami akili yote nilipata gpa 2.1 Nilichanganyikiwa nilijua lazma nidisco mwaka ule ..ila mungu ni mwema sikuzote Ila namii nilikua mla bata sana buana.
Sitosahau semista ya kwanza udsm mwkaa wa kwanza 2009 nami akili yote nilipata gpa 2.1 Nilichanganyikiwa nilijua lazma nidisco mwaka ule ..ila mungu ni mwema sikuzote Ila namii nilikua mla bata sana buana.