Sitosahau, Special thread

Sitosahau, Special thread

Sitosahau semista ya kwanza udsm mwkaa wa kwanza 2009 nami akili yote nilipata gpa 2.1

Nilichanganyikiwa nilijua lazma nidisco mwaka ule ..ila mungu ni mwema sikuzote

Ila namii nilikua mla bata sana buana.
 
Back
Top Bottom