Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
Je? Una tukio ambalo umewahi kukutana nalo katika maisha yako tangu uzaliwe hadi ulipo, na ambalo kwa namna lilivyotokea hutokaa ukalisisahau kabisa? Kama jibu ni NDIYO, Tuhabarishane hapa!
Iwe simulizi fupi mfano kukomba Mboga nakupewa kipigo cha ajabu, au pingine ni simulizi ndefu inayohusu mambo ambayo hutoyasahau katika maisha yako na unaona una sababu yakutujuza WanaJF ili tujifunze kupitia wewe.
Siyo vibaya kama tukahabarishana na watu wakapata fundisho kutoka kwako au pengine namna ya kutatua matatizo yanayotusibu katika jamii zetu.! mkasa wowote unaohusu maisha na ambayo umewahi kukutana nayo tuhabirishane wadau