Sitosahau, Special thread

Sitosahau, Special thread

sitasahau kamwe siku niliyojikojolea kojo matataa ugenini aiseee kilichotokea hadi leo sina amani


LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaaaa.. kiruuu. enheeee ilikuaje??? mission ilikua accomplished au ndo uliishia njiani? unafumwa halafu hujala mzigo... hahaaaa inauma

Inaniuma mpaka kesho manake ndio nilikuwa ready for action nikadakwa shingoni kama yule nyau wa jana
 
pole mkuu! lakn hawa jamaa ni wakatiri sana sijui wao mungu wanaomuabudu ni mungu wa aina gan tu.?

kuna rafiki yangu mkiristu na ana tatizo la ugonjwa wa kisukari. Mara kwa mara anahitaji huduma ya choo. Kutokana na kazi yake ni kuwa mjini wakati wote, nilimshauri atumie vyoo vya Misikiti. Nilimfundisha nidhamu ya kuingia Msikitini, na anafurahia ushauri wangu. Kila Msikiti anaingia !
 
Nilikuwa shule moja ya wasichana huko iringa, nakumbuka siku hiyo umeme ulikuwa umekatika na ilikuwa kama saa Mbili kasoro hivi mwenyewe nimetoka kula alf mkojo umenibana nikaamua kwenda toilet, kufika toilet nikaingia choo ambacho mtu kajisaidia bila kufrash na maji y alikuwa yamekauka.. nikaghairi kukojoa coz puu iloachwa ilikuwa ni kubwa sana.. basi bwana ile natoka tu, mlangon si nikapishana na dada mmoja anataka kuingia toi, yan sikuweza hata kujitetea yule dada alijua mi ndo nimechafua choo. Akaenda kunitangaza bwenini tena kwa jina kabisa yan bila chenga na Tulikuwa bweni moja tunalala kama 70 hivi, kufika asubuhi shule nzima ilijua kama mi ndo huwa napuu bila kufrash wakat kiuhalisia sipo hivyo. Nilifedheheka na kuumia sana, nilimchukua sana yule dada kwakweli ila nilishamsamehe

Aisee unaweza hama shule hivihivi
 
Hata mimi sintosahau siku nimepiga bao kwa mara ya kwanza..nilikua naangalia porn magazine niliikuta kwenye madaftari ya bro huku nimelala kifudifudi ktandani. Nilikua naangalia hadi mwisho picha zote halafu naanza upya tena page ya kwanza nikarudia kama mara kumi hivi ghafla nikaanza kuskia hali isiyo ya kawaida nikajua nataka kujikojolea nikaamka fasta ili nikimbilie chooni...weeeeee, nilipiga mweleka nikajibamiza mlango wa chumbani nikamalizia hapo kila kitu. Nilishinda kama mgonjwa siku nzima nawaza nini kimenitokea maana sikuelewa kukojoa gani hivi nguvu zinaisha mwili mzima
ha ha haha natamani kila mwanaume aelezee siku ya kwanza kupata bao
 
sitosahau siku maji yalikatika shuleni nikiwa form one marafiki zangu waislamu wakaniambie niende nao katika bomba la msikiti ambalo halikauki tukachote maji ya kuoga, bomba lipo karibu na msikiti. imamu wa msikiti ule alikuwa wa kidato cha tano akanigundua mimi siyo mwislamu akaniuliza, are you a moslem? wenzangu wale waislamu walionekana kunisikitikia sana na mimi nikamjibu siyo! kaniambia mwaga maji chini na uondoke upesi huku akiwakemea wenzangu na bila kumwaga maji yao kisha kaamuru turudi bwenini peke yangu nikiwa sina maji! nilimchukia sana.

Pole sana mkuu, ungeazima hata kibandiko ukavaa nadhani asingekushitukia
 
Sitosahau siku ya kwanza nimepata ndoto nyevu nikatoa bao. Nilikuwa nimelala usiku nikaota namgegeda dada fulani ambaye sikuwahi kumfahamu sura yake, wakati naendelea kugegeda nikaanza kuhisi utamu wa ajabu na nikajikunja mithili ya jongoo aliyeguswa. Baada ya utamu kuisha nikasikia ute ute nikajua kidume tayari sasa nianze kupiga mikasi michuchu ya kitaa.
 
Sitosahau miaka kadha nyuma maisha home yalikuwa magumu tukawa tuna chemsha maharage usiku wa manane kukawa hakuna chumvi kutafuta tafuta s nkakutana na mbolea nkadhani n magadi du palichimbika hakuna maziwa WAla hela Ya kununulia ila jirani akaja akatusave
 
Back
Top Bottom