Sitosahau, Special thread

Sitosahau, Special thread

hata mimi sintosahau siku nimepiga bao kwa mara ya kwanza..nilikua naangalia porn magazine niliikuta kwenye madaftari ya bro huku nimelala kifudifudi ktandani. Nilikua naangalia hadi mwisho picha zote halafu naanza upya tena page ya kwanza nikarudia kama mara kumi hivi ghafla nikaanza kuskia hali isiyo ya kawaida nikajua nataka kujikojolea nikaamka fasta ili nikimbilie chooni...weeeeee, nilipiga mweleka nikajibamiza mlango wa chumbani nikamalizia hapo kila kitu. Nilishinda kama mgonjwa siku nzima nawaza nini kimenitokea maana sikuelewa kukojoa gani hivi nguvu zinaisha mwili mzima


hahahaha mkuu kila mtu alibalehe kwa staili yake..

Wengine tulijikuta tu tunajimwagia
 
Sitosahau miaka kadha nyuma maisha home yalikuwa magumu tukawa tuna chemsha maharage usiku wa manane kukawa hakuna chumvi kutafuta tafuta s nkakutana na mbolea nkadhani n magadi du palichimbika hakuna maziwa WAla hela Ya kununulia ila jirani akaja akatusave

Ha ha ha ha ungelaza watu njaa
 
Sitosahau siku ya kwanza nimepata ndoto nyevu nikatoa bao. Nilikuwa nimelala usiku nikaota namgegeda dada fulani ambaye sikuwahi kumfahamu sura yake, wakati naendelea kugegeda nikaanza kuhisi utamu wa ajabu na nikajikunja mithili ya jongoo aliyeguswa. Baada ya utamu kuisha nikasikia ute ute nikajua kidume tayari sasa nianze kupiga mikasi michuchu ya kitaa.
ulijipiga bao duh
 
Sitosahau Nilipoanza kumiliki rasmi Simu ndogo ya mkononi. Ilikuwa ni Siemens (maarufu kama Dole Gumba).. Ilinipa tabu sana kwa kutokaa kwake na chaji. Ilinifedhehesha zaidi pale kifuniko chake kilipolegea nikawa nalazimika kufunga kwa rubber band.

Siku ya siku ilinikuta nikiwa kwenye interview moja hivi.........Nakumbuka niliizima, lakini nikiwa katikati ya usaili ikaanza kutoa mlio wake mkali wa kukera (battery low).. Nilijikausha mpaka ikakata... Baada ya kimya kifupi ikaanza tena.. Kwa kero ile, ndugu wakaniomba NIIZIME, nikawaambia mbona ipo OFF!

Nikikumbakaga tukio hili hadi leo naona aibu!

Mkuu nimecheka mbaya aisee eti mbona iko off.... yaani hiyo simu uuuwiii
 
ha ha haha natamani kila mwanaume aelezee siku ya kwanza kupata bao

Wee itakua shida...kuna jamaa yangu yeye tulikuaga tunacheza mpira ukamgonga tu kiunoni akamaliza hapohapo...na ilikua ndo mara yake ya kwanza sasa sijui alikua mwehu au
 
Sitasahau siku ya mashujaa 1979 pale uwanja wa Taifa tulipowapoteza vijana marubani wawili kwa ajali ya ndege ya kivita...

Hiyo ilikuwa baada ya vita ya Kagera...
 
Wee itakua shida...kuna jamaa yangu yeye tulikuaga tunacheza mpira ukamgonga tu kiunoni akamaliza hapohapo...na ilikua ndo mara yake ya kwanza sasa sijui alikua mwehu au

ha ha hahahaha duh mimi nitakuwa namvizia mwanamngu wa kiume nione siku kabalehe inakuwaje
 
duuuu ngoja nakuja sio muda Shyland
 
Last edited by a moderator:
Sitasahau siku nilipokuwa primamary rafik yangu ananiuliza iv ww umeota nywele za huko chini nikawa najitia cjaota akanivuta nikaanza kuumia baadae nikamwambia ananivuta kanyuz kachup kumbe anavuta v...z
 
Sitosahau siku niliyoanza kupiga punyeto... bao lilipokuwa linatoka na ule utamu miguu ikawa inatetemeka nikapiga bonge la mwereka nikavunjika mkono, dingi akaja kunipa huduma ya kwanza alivyoona manii yameganda mikononi akaenda kuchukua bakora alinichapa sana sitokuja kuja kusahau hiyo siku . Tangu siku hiyo sikupiga tena punyeto, nilikuwa darasa la 6
😁😁😁😁😂😂😂😂
Nimecheka sana. Dah 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Sitosahau
Siku niliyopoteza simu yangu niliyonunua kwa Bei ya juu..nililia Kama mtoto siku ile 😂😂..jamani
 
Back
Top Bottom