Sitosahau wema niliofanyiwa

🤣🤣🤣🤣...huyu alinisaidia kitu kikubwa mno bila kutaka mahusiana till now...I just respect him much aisee
Kuna Daktari kanipa msaada kama kazi yake inavyo takiwa, sasa sijui ilikuwaje namuona bilisi akinambia mwanangu fanya u shetani Basi😂😂.

Kale kadaktari nikakila kimasihara kama mjomba bilisi alivyo taka, kumbe kale kadaktari kamefoli in love wakati shetani nilifanya kazi yangu tu🤣🤣.
 
Kusex so nongwa sikuhizi...penzi waweza kumpa mtu kwa feelings tu na si lazima after kupewa kitu
 
Safi
 
Ni wasukuma?
 
Kaka usione vyaeleya vimeumbwa ,angalia familiya yako baba ako au mama ako wanafanya nini na huko ndio chanzo chako ndio maana na wewe ukafanyiwa wema bila ya shaka wazee wanawafanyia watu wema bila ya wewe kujua any way jazaa ya ihsani ni ihsani usisubiri upate mamilioni ndio ulipe zawadi ndogo ndogo ni katika malipo malipo wapelekee vizawadi vidogo ile wakumbuke wema wako ,wewe ni mwana wa family tayari watembelee ni vizawadi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…