Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna vitoto vingi vilivyo fail havitaki kuhoji. Sisi tunaohoji. Hawa vilaza wanatuchukia. Story ina gaps nyngi mandondocha yanakubali tu hatataki kuhoji uongo uwekwe wazi. Unakuta mtu anakenua tu meno kama taahira.Unajua kuwa jamiiforums ni jukwaa la greater thinkers! (Miongoni mwa Sifa ya greater thinker ni kufanya analysis na evaluation ya taarifa).
Sasa mtu anaulizwa tu eti anajikinai.
Analazimisha tukubali Kuwa story yake ni true based story, wakati inamaswali mengi ambayo yanaacha alama za kujiuliza.
KUBUNI ILA INALAZIMISHWA IWE YA KWELI.Hii ni story ya kweli au ni ya kibuni. Sijaelewa kabisa.
Tutabanana hapa hapa na nyie vilaza mpate darsa. πHuna akili wewe kama unataka unachokitaka ungekitafuta na usifikiri kila unachotaka kila mtu anakipenda kama haijakupendeza unatulia unaendelea na mada nyingine kwani majukwaa mengine yamefungwa? Hadi ukomae huku?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nyie vijana wa fecebook kazi kwelikweliHuna akili wewe kama unataka unachokitaka ungekitafuta na usifikiri kila unachotaka kila mtu anakipenda kama haijakupendeza unatulia unaendelea na mada nyingine kwani majukwaa mengine yamefungwa? Hadi ukomae huku?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mbona upo kimya?Dada chizi unaongelea unayopitia aiseee pole Kanawe basi. Halafu utafute cha kufanya humu wengi wameshakuchoka. Mnakosa kazi mnakaa kutafuta waume kwenye nyuzi. Umri huo unanuka mkojo
CHAI HII.JF wajuaji wengi hadi wanakera.
Kuna watu Kila kitu kwao ni chai duu
Aise. Ujue nimewaza sana, kusoma gazeti lote Hilo alafu mwisho nije nibaini ni fiction story wakati nimepoteza muda, ingeniumiza sana. Asante kwa kunisanuwa kuwa ni fiction story.KUBUNI ILA INALAZIMISHWA IWE YA KWELI.
Yaani mtungaji pia hayupo makini sana nadhani anangalia sana movies za kinaijeria anakuja leta JFAise. Ujue nimewaza sana, kusoma gazeti lote Hilo alafu mwisho nije nibaini ni fiction story wakati nimepoteza muda, ingeniumiza sana. Asante kwa kunisanuwa kuwa ni fiction story.
iwe ya ukweli au uongo sisi tumechagua kuburudika wewe unaumia wapi ikiwa ya uongo? unatoa mipasho utadhani ww ndio unazungumziwa kwenye story acha izo mbanga ww be gentle.KUBUNI ILA INALAZIMISHWA IWE YA KWELI.
Vizuri Sana ..umejipambanua vyema.. .. jinsi ulivyo!Sasa hapa wewe ndo umeonesha una stress. Hizi stories why zinawatoa imani hivyo? Sisi wengine tunakuja humu kutafuta wa kuwatoa makamasi na kuamsha stress zao tuna enjoy. Tafuteni kazi shauri lenu. Mtakuja olewa na watunzi kwa stories tu. Mwacheni mtunzi atunge kwa utulivu
Sana. Na inazunguka pia.Sawa nta wash..ila dunia ni ndogo sana hii boss
Absolutely.Vizuri Sana ..umejipambanua vyema.. .. jinsi ulivyo!
Duhh...poleMzee wangu alikuwa mwalimu kuna wakati alihamishiwa katika shule moja Morogoro vijijini huko ndanindani.. ile shule ilikuwa na walimu wawili tu.!! Historia yapale wanasema iIlikuwa akiongezeka mwalimu wa3 basi anakufa. Na wakati mzee anaenda kuripoti shuleni akakuta kuna mwalimu amezikwa kama miezi mi3 nyuma. Nayeye alivyohamia pale hakuchkua hata zaidi ya mwaka akafariki..!
Nilienda kuzika korogwe Kijiji hakina msikiti Wala Kanisa,mganga anaumwa wanaenda kumuangaliaIla Handeni ni hatar na wazigua ndo wanaipa sifa ya uchawi Tanga wengi hwajui...Wasambaa , wadigo na wabondeni hawanaga uchawi wa kutisha zaidi ya zongo ila Handeni ni hatar.
Uchawi na waganga kila kona piga mahesabu kijiji hata watu laki hwafiki ila kuna waganga elfu 1 na kitu na hao waganga ndo wachawi hao hao.
hahahaha mara paa vicheko vyenye mwangwi unavisikia usiku huu
Shindwa πππππhahahaha mara paa vicheko vyenye mwangwi unavisikia usiku huu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app