Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Janja kiporo kikipashwa Moto huwa hakiongezwi chumvi kinapikwa na chumvi yake ileile iliyowekwa awali
naona episode ya 6 umeongeza chumvi kwenye kiporo hata wewe mwenyewe kiporo chako kimekushinda kuendelea nacho
Kwani ushaisoma hii story mkuu
 
Janja kiporo kikipashwa Moto huwa hakiongezwi chumvi kinapikwa na chumvi yake ileile iliyowekwa awali
naona episode ya 6 umeongeza chumvi kwenye kiporo hata wewe mwenyewe kiporo chako kimekushinda kuendelea nacho
Nlimwambia mimi atapata shida kuendeleza. Amedanganya sana. Sasa anajikuta anatumia akili nyingi kuwaza atoke vipi
 
Ngoja tupate somo
 
duu tuseme haya mambo yapo kila sehemu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nitaelezea hii story ya maisha yangu ya Kwamsisi niliishi ndani ya muda mfupi si zaidi ya miezi mitatu nikiwa kama mwalimu, kwa mwenye kuamini atafuatilia uzi huu kama hamuamini siwezi kuwalazimisha.
Bora wale vihedemswede waondoke hamjalazimishwq kufatlia
 
Nlimwambia mimi atapata shida kuendeleza. Amedanganya sana. Sasa anajikuta anatumia akili nyingi kuwaza atoke vipi
Inawezekana ni stori ya kweli ila ataiharibu akiendelea kuongeza chumvi maana atakutana na maswali yasiyo jibika kutokana na mazingira ambayo hayaingii akilini atakayo yaongeza kwenye stori episode ya 6 chumvi imetumika
 
Habari, nimepata PM nyingi za wadau juu ya hii hadithi, kuanzia kesho nitaiendeleza, Angalizo: napokea positive criticsm na ushauri.
Wapuuze hao wapuuzi brother..jf Kuna watu Wana mastress na wivu wanapenda attention Mda wote
Always negativity tu hawana Cha kuwaza Yani sijui wakisoma na kuacha ipitw kuna shida Gani....

Tupunguze vihedemswede km mnataaka kukosoa nendeni kwenye jukwaa la siasa na vita ya Ukraine na urusi Huku tuachieni siye oyaa oyaa
 
Na umewachamba kweli kweli
 
Habari, nimepata PM nyingi za wadau juu ya hii hadithi, kuanzia kesho nitaiendeleza, Angalizo: napokea positive criticsm na ushauri.
Safi sana dogo. Lete stories watu waburudike. Kesho hakikisha unaleta episodes za kutosha. Umeshamaliza kuandaa lesson plan? Na scheme of work? Piga kazi dogo ila usisahau kutuletea visa mbalimbali vya kichawi.
 
Unaboa sana we jamaa
 
Nitaelezea hii story ya maisha yangu ya Kwamsisi niliishi ndani ya muda mfupi si zaidi ya miezi mitatu nikiwa kama mwalimu, kwa mwenye kuamini atafuatilia uzi huu kama hamuamini siwezi kuwalazimisha.
Tumesoma story nyingi tu za kina willy gamba itakuwa hii we shusha nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…