Sitosahau!! Yaliyotutokea kahororo sec 2012 form six leavers.

Kweli ninyi mlikuwa mavuvuzela. Mnaleta mgomo kwa sababu mwalimu anawafuatilia muende prepo. Kwa hiyo shuleni mlikwenda kulala ua kusoma? Halafu mnafikiria kumbaka na kumdhalilisha mwalimu anayewataka mkasome. Hamjui mwalimu ni kama mzazi wenu? Humkujua kuwa kupanga kubaka mwalimu wenu ni sawa na kupanga kubaka mzazi wenu. Nyie Ni watu hatari sana na Ujinga kama huu unatakiwa kulaniwa na kila mwenye mapenzi mema na Tanzania.
 
bro unayosema ni kweli kabisa! Ule mgomo ulikuwa ni wa kitoto sana! Si kwamba ni wanafunzi wooote waligoma! Ila tu ni baadhi yetu tu ndo wakalazimisha kwa kukata umeme shule nzima wakati wanafunzi wengine wakiwa wamelala! Hivyo basi, hakukuwa na ujanja ila kuamka na kutafuta namna ya kujiokoa kwani hata wengine walifikia hatua ya kuchapwa sana!
Lakn hata ivyo waliosababisha huo mgomo walifukuzwa shule!
 
Huwez amin huu mgomo ulimkumba mdogo angu, peter chmwejo, duh, ,
 
Back
Top Bottom