Sitosahau

Sitosahau

Sitasahau hiii
Umeenda nyumbni kwa mtu alafu unakutana na
toto sumbufu balaa amjawai kuonana lkn
limeshakuzoea..... Unakuja mwenyewe labda
umechomekea shati nini!! linaanza kukurukia
rukia mala linakuvuta shati mpaka linachomoka...
Mama yake anabaki we junior embu muache
ancle.... Basi unafika unakaa sebureni linaanza
kukusumbua mala likupige kibao cha kushitukiza
ulikua unaangalia zako mbele kwenye tv mala
linakudandia mapajani... Unajibalaguza kuliambia
aya nenda kwa mama.. Linakutemea mate usoni
na mama yake anacheka tu na kukwambia
nakwambia leo utakoma mimi uwa nayafinya
kisiri siri sasa unakuta umeletewa chai na
maandazi toto lipo mbeke yako linakuangalia
linataka kuokota andazi kwakua unaona mikono
yake michafu unaamua kulimegea kipande
halitaki linataka zima... Ujakaa vizuri limemwaga
chakula kwa hasira.. Masaa yanaenda kwenye tv
muda wa habari... Lenyewe linataka kuweka
cartoon... Linaaza kulia kwa nguvu mamake
anasema aya embu liwekeeni ma cartoon yake
kipindi icho wewe unatamani lipigwe balaa...
Ujakaa sawa unashangaa umepigwa na remote
kichwani unageuka kwa hasira unakuta toto
linacheka.... Ngoja niishie hapa ila kama upo ivyo
na mtoto wako watu hawapendi ujue
Mkuu ukiyafinya kisiri siri hayalii
 
Tulikuwa kwenye jahazi kipindi kile upepo wa kaskazi umechanganya mawimbi makali jahazi ikawa inataka kuzama, tupo kwenye mkondo wa meli baada ya nungwi.

Jahazi inazama maji yamejaa, mashine imegoma kuwaka na tanga limekatika.
 
Nilipoteza kiatu kimoja shule ya msingi darasa la tatu, nikaamua nikifiche na kile kingine nikarudi nyumbani peku.. Nilikua nakaa na babu na bibi

Babu alinipa banzi moja la sikio kichwa chote kikajifomati na kurudi kwenye factory settinng

SITASAHAU!!
 
Nilinusurika kufa kwenye gari lililokuwa likiwaka moto kipindi nipo mdogo. Sitakaa nisahau
 
Utadhan ni utani lakini ni kweli bwana. Jamaa mmoja alifiwa na mzee wake. Wakatoka Dar na pesa za msiba wakamwaga pombe watu wakanywa. Vijana wakamzoa mjane wakaenda kugegeda migombani. Tukaanza kujihudumia maana alalewa sana na walivyozidi kumgegeda akazimia. Jamaa nae akajiunga katika game lile bila kujua anagegedwa nani. Asubuhi anagundua ni mama yake mzazi akachukua uamuzi wa kujinyonga hadi kufa na kumfuata baba yake ahera.
Yesuuuu duuh
 
Sitasahau hiii
Umeenda nyumbni kwa mtu alafu unakutana na
toto sumbufu balaa amjawai kuonana lkn
limeshakuzoea..... Unakuja mwenyewe labda
umechomekea shati nini!! linaanza kukurukia
rukia mala linakuvuta shati mpaka linachomoka...
Mama yake anabaki we junior embu muache
ancle.... Basi unafika unakaa sebureni linaanza
kukusumbua mala likupige kibao cha kushitukiza
ulikua unaangalia zako mbele kwenye tv mala
linakudandia mapajani... Unajibalaguza kuliambia
aya nenda kwa mama.. Linakutemea mate usoni
na mama yake anacheka tu na kukwambia
nakwambia leo utakoma mimi uwa nayafinya
kisiri siri sasa unakuta umeletewa chai na
maandazi toto lipo mbeke yako linakuangalia
linataka kuokota andazi kwakua unaona mikono
yake michafu unaamua kulimegea kipande
halitaki linataka zima... Ujakaa vizuri limemwaga
chakula kwa hasira.. Masaa yanaenda kwenye tv
muda wa habari... Lenyewe linataka kuweka
cartoon... Linaaza kulia kwa nguvu mamake
anasema aya embu liwekeeni ma cartoon yake
kipindi icho wewe unatamani lipigwe balaa...
Ujakaa sawa unashangaa umepigwa na remote
kichwani unageuka kwa hasira unakuta toto
linacheka.... Ngoja niishie hapa ila kama upo ivyo
na mtoto wako watu hawapendi ujue
Sina mbavu
 
Mwanangu umetisha nilisha wahi kukaa na toto moja iv kwa hawa matajiri aseee wengi wao ni wapuuzi hawajui kulea watoto kabisa mtu unachoka mpka unatamani kwenda shamba
unaweza jikuta unatoa tusi usilotalajia aisee😀😀😀
 
Sitasahau nilipigwa kibao na ex wangu mbele ya watu afu usiku wake demu akaja kuniomba msamaha akajiliza sana nikakomaa kidogo ila badae nikamsamehe akanipoza na papuchi!
 
Wakuu sitasahau kipindi nipo form 3....siku hiyo wenzangu wanajiandaa kwenda prepo mimi nikajisogeza mpaka kwenye miti mingi ya matunda msituni ghafla paaah nkaona kiti knamacho ya kung'aa kama paka nakatochi kangu kumulika namuona simba huyu hapa aiseh sijuagi kivipi nilipona
 
Nilijinyea wakati natoka shuleni darasa la 3.. Njiani inzi tu 'mvoo mvoo mvooo'

Daa aibu sana tumbo la kuhara lilikuja gafla nikashindwa hata kupiga hatua moja ukatoka uharo wa moto hatariiiii..

Ukamwagika mwaka kwenye kiatu.. Nikakaza ivo ivi mpaka hom kidume.. Na ile bukta niliitupilia mbali..

Niliimbwa wiki nzima na wana
 
Back
Top Bottom