Sitosahau

Mkuu ukiyafinya kisiri siri hayalii
 
Tulikuwa kwenye jahazi kipindi kile upepo wa kaskazi umechanganya mawimbi makali jahazi ikawa inataka kuzama, tupo kwenye mkondo wa meli baada ya nungwi.

Jahazi inazama maji yamejaa, mashine imegoma kuwaka na tanga limekatika.
 
Nilipoteza kiatu kimoja shule ya msingi darasa la tatu, nikaamua nikifiche na kile kingine nikarudi nyumbani peku.. Nilikua nakaa na babu na bibi

Babu alinipa banzi moja la sikio kichwa chote kikajifomati na kurudi kwenye factory settinng

SITASAHAU!!
 
Nilinusurika kufa kwenye gari lililokuwa likiwaka moto kipindi nipo mdogo. Sitakaa nisahau
 
Yesuuuu duuh
 
Sina mbavu
 
Mwanangu umetisha nilisha wahi kukaa na toto moja iv kwa hawa matajiri aseee wengi wao ni wapuuzi hawajui kulea watoto kabisa mtu unachoka mpka unatamani kwenda shamba
unaweza jikuta unatoa tusi usilotalajia aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sitasahau nilipigwa kibao na ex wangu mbele ya watu afu usiku wake demu akaja kuniomba msamaha akajiliza sana nikakomaa kidogo ila badae nikamsamehe akanipoza na papuchi!
 
Wakuu sitasahau kipindi nipo form 3....siku hiyo wenzangu wanajiandaa kwenda prepo mimi nikajisogeza mpaka kwenye miti mingi ya matunda msituni ghafla paaah nkaona kiti knamacho ya kung'aa kama paka nakatochi kangu kumulika namuona simba huyu hapa aiseh sijuagi kivipi nilipona
 
Nilijinyea wakati natoka shuleni darasa la 3.. Njiani inzi tu 'mvoo mvoo mvooo'

Daa aibu sana tumbo la kuhara lilikuja gafla nikashindwa hata kupiga hatua moja ukatoka uharo wa moto hatariiiii..

Ukamwagika mwaka kwenye kiatu.. Nikakaza ivo ivi mpaka hom kidume.. Na ile bukta niliitupilia mbali..


Niliimbwa wiki nzima na wana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…