Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Najaribu kuunganisha DOT kinachoendelea huko Ughaibuni watu wakisaka kuungwa mkono ili wasaidiwe 2020 ata kwa kushirikiana na mashetani walisema wenyewe kuwa watafanya hivyo alimradi waende Ikulu! Nikijaribu kuangalia pia hapa TLS ilikuwa kama daraja tu la kufika kule watakako na mwisho wa siku wapate sehemu za kupaza sauti zao ili jamii iwatambue lakini mwisho wa siku wa Karata Ukawa imekufa na Chadema pekee itamtoa LISSU kama mgombea urais huku mgombea mwenza akiwa Shangazi Bi Fatma!
Mi tambitambi jamani!
Mi tambitambi jamani!