Tetesi: Sitoshangaa Shangazi kuwa Mgombea Mwenza hapo Kesho...!

Tetesi: Sitoshangaa Shangazi kuwa Mgombea Mwenza hapo Kesho...!

Sheria inataka Mgombea Urais akitoka Upande wa Bara Basi Mwenza atoke upande wa Znz kwa maana awe Mzanzibar kwa maana ya Kuwa Na sifa ya kupiga kura Znz.
Fatma kazaliwa Na Wazazi wa Znz lakin mpaka Muda huu hana sifa ya UzanZibar kwa sifa ya Kuwa Mpiga kura wa Znz

Someni vyema Sheria Za Uchaguzi Za Kule kwa kina Jecha ni kali Kweli Kweli sio Kama Huku kwetu

1995 Pamoja Na Mambo Mengine NCCR Mageuzi chini ya Lyatonga walivaa Mkenge wa kumsimamisha Hayati Comrade Prof Abdulrahman Babu Kuwa Mgombea Mwenza nusu nusu Mrema afyekwe kwa kutotimiza Masharti ya Mgombea Mwenza Miaka akina Dr Masumbuko Selasini Lamwai wakaokoa Jahazi japo sababu ya kuzuia Babu kugombea haifanani Na Hii ya Fatma
Hata Dr Shein uchaguzi wa mwanzo kuingia kwake madarakani hakua na sifa ya kupiga kura Zanzibar, kwa hio aliweza kupiga kura moja tu ya Rais wa Tanzani
 
Back
Top Bottom