Yaani TL kumiminiwa risasi unadai ni daraja LA kufika huko.... Kuna watu kweli mna roho ngumu kama za PAKA wa Lumumba...!!?Najaribu kuunganisha DOT kinachoendelea huko Ughaibuni watu wakisaka kuungwa mkono ili wasaidiwe 2020 ata kwa kushirikiana na mashetani walisema wenyewe kuwa watafanya hivyo alimradi waende Ikulu! Nikijaribu kuangalia pia hapa TLS ilikuwa kama daraja tu la kufika kule watakako na mwisho wa siku wapate sehemu za kupaza sauti zao ili jamii iwatambue lakini mwisho wa siku wa Karata Ukawa imekufa na Chadema pekee itamtoa LISSU kama mgombea urais huku mgombea mwenza akiwa Shangazi Bi Fatma!
Mi tambitambi jamani!
Yamkini huzijui siasa mkuu japo sijazungumzia habari za risasi ila nenda chimbo tena ukiibuka utaibuka na jiwe la almasiYaani TL kumiminiwa risasi unadai ni daraja LA kufika huko.... Kuna watu kweli mna roho ngumu kama za PAKA wa Lumumba...!!?
Ikitokea hivyo, then, hii team itakuwa ni kikosi cha maangamizi.Najaribu kuunganisha DOT kinachoendelea huko Ughaibuni watu wakisaka kuungwa mkono ili wasaidiwe 2020 ata kwa kushirikiana na mashetani walisema wenyewe kuwa watafanya hivyo alimradi waende Ikulu! Nikijaribu kuangalia pia hapa TLS ilikuwa kama daraja tu la kufika kule watakako na mwisho wa siku wapate sehemu za kupaza sauti zao ili jamii iwatambue lakini mwisho wa siku wa Karata Ukawa imekufa na Chadema pekee itamtoa LISSU kama mgombea urais huku mgombea mwenza akiwa Shangazi Bi Fatma!
Mi tambitambi jamani!
Njozi tu braza tena za mchana kama yule bundi wa mchana wala hazinaga ukweliIkitokea hivyo, then, hii team itakuwa ni kikosi cha maangamizi.
Kama hali hii tuu, watu wanakosa usingizi na kuingia na mafaili chumbani, team hii ikitangazwa, mnataka kuwafanya watu chakula kisipite?. Acheni utani jameni, utani mwingine sio mzuri wa kutaka kuwaweka watu roho juu bure!.
Acheni kuwaza hivyo.
P.
hellow ndugu pascal!! Wana kamati tunakuandalia mpango wa kukuita tena kikaangoni kwa sababu ya comment zako kuonyesha upo kinyume na kuunga juhudiIkitokea hivyo, then, hii team itakuwa ni kikosi cha maangamizi.
Kama hali hii tuu, watu wanakosa usingizi na kuingia na mafaili chumbani, team hii ikitangazwa, mnataka kuwafanya watu chakula kisipite?. Acheni utani jameni, utani mwingine sio mzuri wa kutaka kuwaweka watu roho juu bure!.
Acheni kuwaza hivyo.
P.
Recently post zako Paskali umeonyesha which side u belong ila ulivyo mjanja soon utabadlsha upepoIkitokea hivyo, then, hii team itakuwa ni kikosi cha maangamizi.
Kama hali hii tuu, watu wanakosa usingizi na kuingia na mafaili chumbani, team hii ikitangazwa, mnataka kuwafanya watu chakula kisipite?. Acheni utani jameni, utani mwingine sio mzuri wa kutaka kuwaweka watu roho juu bure!.
Acheni kuwaza hivyo.
P.
Eeeh inamaana Bi Fatma si hana ata kitambulisho cha ukaazi kule Kisiwani?Sheria inataka Mgombea Urais akitoka Upande wa Bara Basi Mwenza atoke upande wa Znz kwa maana awe Mzanzibar kwa maana ya Kuwa Na sifa ya kupiga kura Znz.
Fatma kazaliwa Na Wazazi wa Znz lakin mpaka Muda huu hana sifa ya UzanZibar kwa sifa ya Kuwa Mpiga kura wa Znz
Someni vyema Sheria Za Uchaguzi Za Kule kwa kina Jecha ni kali Kweli Kweli sio Kama Huku kwetu
Tusubiri, uchaguzi wa ndani chadema ndio utatupatia picha. With Lowasa in the house, nothing is predictable.Ikitokea hivyo, then, hii team itakuwa ni kikosi cha maangamizi.
Kama hali hii tuu, watu wanakosa usingizi na kuingia na mafaili chumbani, team hii ikitangazwa, mnataka kuwafanya watu chakula kisipite?. Acheni utani jameni, utani mwingine sio mzuri wa kutaka kuwaweka watu roho juu bure!.
Acheni kuwaza hivyo.
P.
It would be nice to understand the true meaning of your commentsIkitokea hivyo, then, hii team itakuwa ni kikosi cha maangamizi.