Elections 2010 Sitta amdharau kikwete

A thing that can not live to see a day!

Sitta yuko entitled kusema chochote, lakini kwa hakika anajua kabisa materially ni kwa jinsi gani Slaa alivyo kichwa!
Kauli zingine za wanasiasa ni za kuzipuuza tu!
Naunga mkono hiii
 
ni kweli kabisa pasco

sitta is confident, but to me nadhani itakua insult kwa slaa kufanya mdahalo na mgombea ubunge... its degrading
Naungana na wewe kwa asilimia 100%, ila pia japo siungi mkono uamuzi wa CCM kuikacha midahalo, wameamua bora wawe sorry than kuja kuregret baadaye kwa kuzingatia kilichotokea kwenye mdahalo wa jimbo la Ubungo, jinsi mtu wao alivyogaragazwa.

Hakuna ubishi kuhusu uwezo mkubwa Dr. Slaa kujenga hoja, pia hakuja ubishi kuhusu uwezo duni wa JK kujibu hoja. Tukija kwenye streghth na weakness hakuna ubishi kuwa Dr.Slaa ni strong na JK weak, hizi ni facts, sasa uwaweke pamoja, kila mtu anajua nani atagalagazwa,
kuliko kukubali kugalagazwa, bora kunywea na kuendelea kuwadanya wananchi, baada ya maisha bora kwa kila Mtanzania, sasa ndio anawaletea maisha bora zaidi!

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.....
 
Dr. Slaa ni mgombea Urais, hatakiwi kufanya mdahalo na mgombea Ubunge, labda kama mdahalo utahusu mambo ya Urambo
Mkuu, ameshasema kwenye facebook kuwa hawezi kufanya mdahalo na mgombea ubunge!
 
Hana lolote huyu, si ndumi la kuwili tu, anajiita spika wa viwango wakati ni FISADI WA KIWANGO CHA JUU.
 
Who is Sitta by the way? wewe ni mtu mdogo sana na kwa taarifa yako na huo uspika sahau na kwenye chama chapo upo kiporo tu. naona umesahau ulivyotaka kushughulikiwa pale Dodoma asingekuwa JK kukuokoa sasa hivi angekuwa kijiweni.

Ukweli unawachoma sana, yote anayoongea DR. Slaa ni ya kweli.

Naomba utujibu haya mawili tu kabla ya kuomba huo mdahalo na DR. Slaa
1) Hayo maisha bora mliyotuahidi mwaka 2005 yapo wapi?
2) RICHMOND uliimalizaje bungeni? unafikiri hatujui?
 
Nadhani Sitta anachojaribu kufanya naweza kukiita kuwa ni propaganda kwa kuwa kuna sehemu naye ameguswa na Dk Slaa sasa naona kama vile kimemuuma kinachonishangaza ni kuwa karibia viongozi wote wa ngazi za juu CCM wana-deal na mtu mmoja tu(Dk Slaa) kwa kuwa amewagusa sehemu nyeti na amewavua nguo hadharani basi kila mtu atajifanya Dk Slaa ni size yake ni bora Sitta aendelee tu kugombea huo ubunge wake na kujaribu ku-concentrate ili aone awamu ijayo uspika ataupata kuliko kuanza kujilinganisha na Dk Slaa kwa minaajili ya kufanya naye mdahalo
 
Namshukuru Kikwete na Makamba kwa kuifikisha CCM mahala ilipo sasa
Shukrani kuu ziende kwa cooker mzee Mkapa kwa kutupikia hichi kinacholiwa leo.
 
mimi naona sitta kamdharau zaidi slaa kwamba hana ubavu na mdahalo with CCM presidential candidate labda apewe mgombea ubunge ndio saizi yake

its all perception

Umelonga Mkulu!:smile-big:
 
EBANAEE MUACHENI JK, MBONA MNA MSAKAMA SANA HATA MFANYEJE UCHAGUZI HUU SLAA HAPITI KWANZA USIJESHANGAA HUENDA SIYO RAIA. HATUWEZI TUKAMCHAGUA MTU ASIYE NA MVUTO KAMA SLAA. UCHAGUZI ULIOPITA BINAFSI NILIMCHAGUA JK KWASABABU NI PRESENTABLE, HATA KUMTAMBULISHA KWA WATU KWAMBA NI RAIS WANGU INAPENDEZA. ILA KITU KIKUBWA WALICHONIKERA NI KUTOKUIWEKA SURA YAKE KWENYE NOTI ZETU MAANA ZINGEVUTIA KWELIKWELI. NA UCHAGUZI HUU KURA YANGU NI KWA JK MAANA NAJARIBU KUMFANANISHA NA WENGINE BADO NAONA ANAWAFUNIKA KWA UHENDSUM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. :becky:
 

Hujawahi andika kitu cha maana hapa JF! Ni pumba tu - headless chicken
 
Hivi huyu sitta hajapewa majukumu ya makamba la kudivert direction za kampeni! Slaa anaweza kujikuta anamjibu sita na kumuacha jk. Mi nashauri ampotezee tu!
 
the shallowest mind in JF... we need to award him/her for understanding his/her situation and sharing it out to the world.... MPAKA LEO KUNA MTU ANACHAGUA RAIS KUTOKANA NA SURA!!!!!

Kweli CCM imedumaza kuanzia miili mpaka akili za watu
 
"sijui kama anafanya utafiti, lakini alipaswa kuzikataa fedha za mshahara; mbona alikuwa anapokea? Alianza kujenga hoja hii baada ya kuona anataka kugombea urais, Slaa aache ghilba".
Interesting, very interesting!
 
Namshukuru Kikwete na Makamba kwa kuifikisha CCM mahala ilipo sasa
Shukrani kuu ziende kwa cooker mzee Mkapa kwa kutupikia hichi kinacholiwa leo.
Nimekubali ulivyoiweka... artistically

CHukua tano
 
Interesting, very interesting!

Kweli kabisa Mkuu. Hawa watu walio na Kiherehere watakiona na wasipate Msaada.

Kama lile Puuzi lililoficha barua ya Ushindi huko Handeni Tanga. Likifungwa litashangaa hata CCM haiwasaidii.

Wengine hawa walikuwa wanajipendekeza kwa Salma Kikwete na ona sasa Kinana anavyowaambia......

Sasa wasubiri kuwekewa bills za matumizi ya magari na pesa za Serikali.


From Ippmedia.com or Nipashe.
 
Kikwete anakazi sana! Watu wa kanda ya Ziwa naambiwa hawapendi wanaume wanaocheka cheka bila sababu. Kosa wameliona hawawezi lirudia tena mtani wao anaonekana ni mtu wa mizaha tu
 
Dr. Slaa, amkabidhi Sitta kwa Tindu Lissu ndio size yake coz wote ni wabunge. Hapo Sitta hatatokea si kapigwa biti na makamba, Hahaa, mwanasheria mzima!!!!
 
Hivi ile issue ya mke wake imefikia wapi?....maana nakumbuka alikamatwa na TAKUKURU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…