Elections 2010 Sitta amdharau kikwete

Elections 2010 Sitta amdharau kikwete

EBANAEE MUACHENI JK, MBONA MNA MSAKAMA SANA HATA MFANYEJE UCHAGUZI HUU SLAA HAPITI KWANZA USIJESHANGAA HUENDA SIYO RAIA. HATUWEZI TUKAMCHAGUA MTU ASIYE NA MVUTO KAMA SLAA. UCHAGUZI ULIOPITA BINAFSI NILIMCHAGUA JK KWASABABU NI PRESENTABLE, HATA KUMTAMBULISHA KWA WATU KWAMBA NI RAIS WANGU INAPENDEZA. ILA KITU KIKUBWA WALICHONIKERA NI KUTOKUIWEKA SURA YAKE KWENYE NOTI ZETU MAANA ZINGEVUTIA KWELIKWELI. NA UCHAGUZI HUU KURA YANGU NI KWA JK MAANA NAJARIBU KUMFANANISHA NA WENGINE BADO NAONA ANAWAFUNIKA KWA UHENDSUM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. :becky:

Wewe uliyeandika hapa utakuwa ni Dokii tu..na mpomombo na watu wa CCM utakuua! Na video yako hii hapa chini

YouTube - Dokii aongea (MichuziBlog)
 
EBANAEE MUACHENI JK, MBONA MNA MSAKAMA SANA HATA MFANYEJE UCHAGUZI HUU SLAA HAPITI KWANZA USIJESHANGAA HUENDA SIYO RAIA. HATUWEZI TUKAMCHAGUA MTU ASIYE NA MVUTO KAMA SLAA. UCHAGUZI ULIOPITA BINAFSI NILIMCHAGUA JK KWASABABU NI PRESENTABLE, HATA KUMTAMBULISHA KWA WATU KWAMBA NI RAIS WANGU INAPENDEZA. ILA KITU KIKUBWA WALICHONIKERA NI KUTOKUIWEKA SURA YAKE KWENYE NOTI ZETU MAANA ZINGEVUTIA KWELIKWELI. NA UCHAGUZI HUU KURA YANGU NI KWA JK MAANA NAJARIBU KUMFANANISHA NA WENGINE BADO NAONA ANAWAFUNIKA KWA UHENDSUM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. :becky:

Du,kwa hili,sikutetei!
Ongelea hoja,si uzuri.
Je,hivi hapo ndio mwisho wa kufungua akili yako?
 
EBANAEE MUACHENI JK, MBONA MNA MSAKAMA SANA HATA MFANYEJE UCHAGUZI HUU SLAA HAPITI KWANZA USIJESHANGAA HUENDA SIYO RAIA. HATUWEZI TUKAMCHAGUA MTU ASIYE NA MVUTO KAMA SLAA. UCHAGUZI ULIOPITA BINAFSI NILIMCHAGUA JK KWASABABU NI PRESENTABLE, HATA KUMTAMBULISHA KWA WATU KWAMBA NI RAIS WANGU INAPENDEZA. ILA KITU KIKUBWA WALICHONIKERA NI KUTOKUIWEKA SURA YAKE KWENYE NOTI ZETU MAANA ZINGEVUTIA KWELIKWELI. NA UCHAGUZI HUU KURA YANGU NI KWA JK MAANA NAJARIBU KUMFANANISHA NA WENGINE BADO NAONA ANAWAFUNIKA KWA UHENDSUM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. :becky:
ezan
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateTue Aug 2009Posts7 Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Lakini umejitahidi kuweka hii post kisanii zaidi na kwa lugha ya picha!!
 
Jamanin hivi marupurupu huwa sio sehemu ya mshahara au mapato yanayotakiwa kulipiwa kodi? Mbona mzee six hayatambui hayo? maana anasema mshahara ni mil 2 na ukijumuisha vitu vingine ndo unapata hesabu ya Dr Slaa. sasa nani yuko sahihi katika hili?

Kwa tulio hapa mtu akipewa tips inabidi ziwe declared for tax purposes na tips au marupurupu ni sehemu ya mshahara wa kazi sasa kwa nyie ambao mko Tanzania hebu tuambieni kama tips si sehemu ya mshahara au kama huwa hazilipiwi kodi. Maana kama ni sehmu ya mshahara na kama huwa zinalipiwa kodi basi ni wazi kuwa slaa ana hoja lakini kama huwa hazilipiwi kodi basi ni ufisadi mwingine wa mtu kulipwa ujira asio stahili maana anapokea fedha ambayo hakuitolea jasho hivyo ni wizi na ufisadi mwingine...
 
Baada ya masha kumdhalilisha kikwete kuhusu uraia wa bashe, spika sita naye ameongeza zaidi.amedai kuwa dr.slaa ni saizi yake,wawe na mdahalo na wamuache kikwete afanye kampeni tu.
Tunajua kikwete kaogopa mdahalo na slaa.sasa sitta anasema yeye ndiye saizi ya slaa.yarabi toba! Wakimnyima uspika huyu,na kumnyang'hanya kadi, mimi simo,au kama ilivyokuwa kwa bashe wakisema si raia msinifuate

Sitta manafiki kwa sababu anajua haiwezekani!!!!!
 
Wataendelea kumdhalirisha kwa sababu wanajua hawezi
 
huo ndo ukweli mara mia ya sitta kuliko JK , kwa hiyo kama ni mdahalo wafanye slaa na sitta sio mkwere.

Nakubaliana na PhD kwamba Sitta ni mara mia kwa ubora kuliko mkwere. Lakini Sitta atakuwa ktk Mdahalo na SLAA kama nani? Slaa hagombei jimbo la Urambo!!!!!!!!!!

Incidentally napenda sana Heinekenn beer, ishara yako PhD. Naondoka kwenda kujiburudisha nayo sasa.
 
Sitta anatamani sana angeweza kugombea urais... kama anajihisi anataka kusimama na Slaa si angechukua fomu?

Sijui anapata wapi ujasiri huu wakati anajua kabisa hawezi kuwa mgombea wa urais. Angekuwa na guts, angechomoka CCM.. kama walivyofanya majasiri... sasa kajibanza anapiga kelele... anatamani hawezi..

Anatia huruma.
 
Mimi nadhani Sitta hana cha kujadili kwenye huo mdahalo kwa kuwa yote ameshayamaliza. Kasema kuwa total package ya mbunge ni 7m. Dr Slaa alisema hivyo hivyo, total package ni 7M. Kama allowance za jimbo anapewa mbunge kwenye pay check yake ya mwezi, ina maana it is his money!! anaweza kuzitumia apendavyo. Kwa nini kila jimbo lisiwe na ofisi ya mbunge, ambayo hiyo allowance itapitishiwa huko kiofisi, kwa nini anapewa mbunge kama package yake-- kimsingi huo ndio mshahara wa mbunge!! Huo mchanganuo wa Sitta ni semantics tu na hauna credibility ya kuomba mdahalo

Kuhusu suala la elimu, anasema kuwa lazima kuwepo na mipango, na maandalizi etc. Sidhani kama Slaa anataka kuanza na watoto wapya kabisa wa kusoma bure, what is needed ni kusema tu kuwa kuanzia sasa hakuna mwanafunzi wa shule ya serekali kudaiwa ada, au kupeleka dawati, simple, hilo linahitaji mpango gani na maandalizi gani, since vyanzo vingine vya fedha vya kuziba hilo pengo vimeanishwa kwenye ilani ya chadema-- Mr Six asome tu ilani ya Chadema na majibu yako wazi, besides, huwezi kudetail hizo specifcs kwenye mkutano wa hadhara, nani atakuelewa, hata JK anavyoahidi hatoe specifics jamani, anatoa blanket promises tu

Dr Slaa, ukipenda unaweza kufanya mdahalo na Six huko huko Urambo utakapofika huko, Six aje tu kwenye mkutano wako na akuulize maswali yake yanayomsumbua, si lazima aje Dar, afterall Dr Slaa hayuko DAR na mdahalo si lazima ufanyike Dar-- huyu six naye kwa kukariri, lol,.
 
I have always believed that Samuel Sitta is an opportunist of the highest order! Sasa anataka awe na mdahalo na DR. Slaa kwa vile tu ameona ombwe la uongozi huko CCM na yeye anadhani anaweza kujipatia ujiko kwa kufanya huo mdahalo!!Ukweli unabaki pale pale kuwa akijaribu kufanya huo mdahalo atajiumbua na mambo yake mengi yaliyofunikwa yatafunuliwa. Siku zote huyu bwana amekuwa akimdharau Jakaya na ndio maana hata siku ile pale bungeni alimwambia ajitahidi kuwa mkali kidogo; wewe uliona wapi RAIS wa nchi anabezwa namna hiyo hadharani?
 
mimi naona sitta kamdharau zaidi slaa kwamba hana ubavu na mdahalo with CCM presidential candidate labda apewe mgombea ubunge ndio saizi yake

its all perception

Sitta akumbuke kufunga mlango wake kwani ccm hawaja msahau wanakuja sio kama anavyo fikiri yeye, ni swala la muda tu. Timing 'kama kobe vile'
 
wnajuana namna ya kukamatana hawa waacheni tu.........wanapoteza maboya...

Back
Top Bottom