Sitta, Chenge wanafaa uspika Bunge la Katiba - Raia mwema

Sitta, Chenge wanafaa uspika Bunge la Katiba - Raia mwema

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Kwa taarifa zaidi soma gazeti Raia Mwema la leo. Je kati ya hawa wawili waliotajwa na gazeti hili, nani anafaa zaidi na ni kwanini?
 
sasa si ungeweka habari yote ili tuisome, wengine magazeti hatuna ela.
 
Mi nadhani SITTA anafaa zaidi kuliko CHENGEkwa sababu ana uzoefu kutoka mkubwa toka bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Mi nadhani SITTA anafaa
zaidi kuliko CHENGEkwa sababu ana uzoefu kutoka mkubwa toka bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

sitta hafai hataki serikali tatu
lazima tu atachakachua kanuni
yule mwingine ni majanga kwa kifupi wote Hawafai
 
bila kupapasa macho dr lwaitama aaangefaa sanaaaaa kuliko wote hao.
 
Gazeti za Raia Mwema limetaja majina ya Samwel Sitta, Andrew Chenge, Barnabas Samata(Jaji mstaafu), Juma Mwapachu na mwingine mmoja nimemsahau kuwa ni majina yanayofaa kuteuliwa kuwa Spika wa Bunge maalum la katiba.

Sijui kama tunahitaji wanasiasa kama Chenge na Sitta kuongoza hilo bunge maalum.
 
Kwa taarifa zaidi soma gazeti Raia Mwema la leo. Je kati ya hawa wawili waliotajwa na gazeti hili, nani anafaa zaidi na ni kwanini?
KATIBA TUBNATAKA ADHABU YA KIFO KWA WAHUJUMU UCHUMI-jE CHENGE ATAFAA KWELI? Sita naye hafai kwa lolote maana ni mkomunisti wa kukubuhu. hakuna mtanzania mwenye sifa za uspika bali tukodi a british au an Israel man.

Bunge letu lipo hovyo sana na wala halina mwelekeo wa kutetea malsahi ya walio wengi. sasa tujaribu kukodi watu waliotoka kutoka nchi zilizoendelea. Tulifanya makosa sana kudai uhuru mapema maana umuhimu wa bunge kwa mtanzania ni kununua shangingi na kuingia katika tume za uchunguzi baasi.
 
Mikataba ya WIZI yote ni chenge alipitisha na hafai hata kidogo kuongoza chochote! Nawashangaa watu wa Bariadi walivyo wajinga!
 
Tukiweka ndani ya katiba kunyonga watu waliotuhujumu sana Nchi hii basi Chenge atakuwa ndani ya watu 3 wa mwanzo kunyongwa.:disapointed:
 
Sifa zao ni tofauti. Mmoja alisimamia kwa uadilifu mkubwa mikataba feki inayotuletea hasara kama taifa mpaka leo. Wa pili alikua spika lakini akashindwa kujibadili kuwa mwanamke ndani ya saa 24 ili aweze kuutetea uspika wake. Sasa sijui sifa ipi ni nzuri.
 
Hilo gazeti na lenyewe lishakuwa kijarida..... kwa nini mwandishi kataja hao magamba tu! Kuna kina Mabere Matando, Dr. Senkondo Mvungi, Prof. Issa Shivji, Jaji Augustino Ramadhani au atoke hata Zanzibar kuliko hao aliowataja
 
KATIBA TUBNATAKA ADHABU YA KIFO KWA WAHUJUMU UCHUMI-jE CHENGE ATAFAA KWELI? Sita naye hafai kwa lolote maana ni mkomunisti wa kukubuhu. hakuna mtanzania mwenye sifa za uspika bali tukodi a british au an Israel man.

Bunge letu lipo hovyo sana na wala halina mwelekeo wa kutetea malsahi ya walio wengi. sasa tujaribu kukodi watu waliotoka kutoka nchi zilizoendelea. Tulifanya makosa sana kudai uhuru mapema maana umuhimu wa bunge kwa mtanzania ni kununua shangingi na kuingia katika tume za uchunguzi baasi.

Huko mbali, bunge la katiba tuwabinafsishie wakenya jirani zetu watusaidie maana huku maslahi ya vyama yameshatangulizwa mbele mno.
 
Tutumie ile style ya NET GROUP SOLUTION pale Tanesco. Maana huu ni utoto kumtaja Chenge na ni aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom