Sitta: Katiba mpya izuie rais kubeba familia yake

Hata hivyo wenzetu wanazaa kistaarabu,hiv kwa mfano rais wenu anasafiri na familia nzima itakuwa achukue na watoto wa nje ya ndoa ili atambulishe wapate marafiki,hapo nadhani ndege itajaa kabla hata crew wake hawajaingia,not binding just a joke
 
Ameacha kazi za Afrika mashariki anahaha kutafuta urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…