Wewe MchunguZi umesema kitu kizuri sana Ila watu wachache wenye Akili butu wanadhani kuwa Waziri is a mattert of Mshahara,, Sisi tunaongelea Intention ya Sitta kwa watanzania na ndio maana Wana CCM walipo istukia ntention hiyo hata Uspika wakamtoa katika kinyang'anyiro hicho,, sasa nyinyi munaoongea kama mumekatwa vichwa sijui tuwasaidie nini..
Mbopo wewe huna akili ya kimaendeleo lakini hujijui mimi nakwambia