Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Lissu kama kawaida yake hata jambo limeeleweka yeye lazima achomeke hoja yake,, Sitta c yule mliyemzoea aliyewapa ujiko cdm sasa amelitambuwa kosa
Lissu kama kawaida yake hata jambo limeeleweka yeye lazima achomeke hoja yake,, Sitta c yule mliyemzoea aliyewapa ujiko cdm sasa amelitambuwa kosa
Daaah hata mimi nimeshangaa. Siku tatu kusema chochote???
Sitta ni mnafiki sana basi tu watu wanampenda na,kumshabikia pasipo kuangalia matendo yake
Kanye ulale hujui unachoongea
Lissu kama kawaida yake hata jambo limeeleweka yeye lazima achomeke hoja yake,, Sitta c yule mliyemzoea aliyewapa ujiko cdm sasa amelitambuwa kosa
Acha woga kupata katiba ni mpaka watu wazungumze na kufika mwafaka haya mengine hofu zenu tu.
Na bado mie nina wasiwasi hata kile kikanuni cha uwazi/siri lazima sitta atatupiga bao, ntamkumbuka Mkosamali alivopayuka juzi kwa bunge kupitisha kanuni mbovu...Sitta ni mnafiki sana basi tu watu wanampenda na,kumshabikia pasipo kuangalia matendo yake