Bhbm JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 714 Reaction score 210 Sep 19, 2010 #61 teh teh teh ccm wamesahau kuwa Dr, Slaa Phd yake kaisotea darasani na wala siyo ya kuhongwa kama huyo mgombea wa wakijani. Shule tamu jamaniiiii
teh teh teh ccm wamesahau kuwa Dr, Slaa Phd yake kaisotea darasani na wala siyo ya kuhongwa kama huyo mgombea wa wakijani. Shule tamu jamaniiiii
M Malunde-Malundi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,288 Reaction score 131 Sep 20, 2010 #62 mwaka huu mpaka amalize waganga na hapati, rais slaa
The Invincible JF-Expert Member Joined May 6, 2006 Posts 6,006 Reaction score 3,275 Sep 20, 2010 #63 Kasheshe said: Aisee maneno ya Dr. Slaa ni matamu sana... hivi sasa hivi elimu ambayo sio bure serikali inatumia 1.3 Trillion eehh... na Afya ya sasa hivi ambayo sio bure serikali inatuma 0.9Trillion... ikiwa bure itakuwa kiasi gani... wadanganyika? Click to expand... Nawe una ubavu wa kujiita ni great thinker? Ni upupu na uharo mtupu!
Kasheshe said: Aisee maneno ya Dr. Slaa ni matamu sana... hivi sasa hivi elimu ambayo sio bure serikali inatumia 1.3 Trillion eehh... na Afya ya sasa hivi ambayo sio bure serikali inatuma 0.9Trillion... ikiwa bure itakuwa kiasi gani... wadanganyika? Click to expand... Nawe una ubavu wa kujiita ni great thinker? Ni upupu na uharo mtupu!