IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Ni muhimu na wajibu kuangalia unapokea kitu kutoka kwa nani. Huwezi kupokea msaada kutoka kwa mwizi kwa mfano kwakua ulichopewa kitahusishwa na wizi. Kilichofanyika ni kumpromote mtu mwenye tabia mbaya na hiki kinachangia mmomonyoko wa maadili katika jamii.So kakosea kutoa hivyo vyombo kama msaada kwa sababu aligushi vyeti ama??
MapovuNampenda sitti sana tu
Ule umiss ilikuwa dili kubwa kwa hii foundation, wamenyang'anywa tonge mdomoni.
Sitti Mtevu ametoa msaada wa vyombo vya kuhifadhia uchafu kwa hospitali ya Ilala kupitia Sitti Foundation. Vifaa hivyo vilipokelewa na mbunge wa Ilala Zungu. Swali hivi kweli watu wanakosa kumbukumbu au Aibu? Hivi kweli media na taasisi zina habarisha kitendo ambacho ni kizuri kutoka kwa mtu "tapeli" aliyegushi cheti cha kuzaliwa? Kwa jamii makini hili haliwezi kutokea kwani ni tendo la aibu kutokea kwenye hadhara kukaa meza kuu katika mazingira haya..wakuu hii imekaaje?