Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jun 6, 2015 #241 Kama kudanganya cheti cha kuzaliwa n kosa ..na kama wakuu wa rita walisimamishwa kwa nn mhusika asifikishwe sehemu husika kuji bu mashtaka maofisa wametimuliwa kama kweli tuelezwe ukweli wa cheti chake mahakaman
Kama kudanganya cheti cha kuzaliwa n kosa ..na kama wakuu wa rita walisimamishwa kwa nn mhusika asifikishwe sehemu husika kuji bu mashtaka maofisa wametimuliwa kama kweli tuelezwe ukweli wa cheti chake mahakaman
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Jun 6, 2015 #242 Kwani alishitakiwa? Walifunika kombe mwanaharamu akapita...
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jun 6, 2015 #243 Watu wanavyeti feki vya elimu ktk ofisi za umma mpaka mawaziri,hayo mambo ya urembo madhara yake ktk jamii si sawa na kina murugo,mary nagu,nchimbi anajiita dk wakati yupo chuo..
Watu wanavyeti feki vya elimu ktk ofisi za umma mpaka mawaziri,hayo mambo ya urembo madhara yake ktk jamii si sawa na kina murugo,mary nagu,nchimbi anajiita dk wakati yupo chuo..
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 Jan 27, 2021 #244 Noted