Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Tungekuwa na vingozi makini uyu dada keshakwenda mahakamani faster kwa kulitia aibu taifa kusitisha haya mashindano
 
imefanya kazi nzuri ya kumuumbua Lundenga
 

mlivyo mkomalia huyu dada mpaka kaamua kuvua taji basi na muikomalie ccm 2015 iondoke madarakani.
 
Kama watanzania tuna maneno ya kuchoma kiasi hiki basii tunaweza zisema maiti zikaamka kiruuuuu
 
Kama ni kweli huyu dada ni mjanja.... akigoma kuvua maana yake ataumbuka zaidi jambo ambalo hataki litokee...
 

Ni shidah... everything can break when put under continuous pressure..!!
 
unajua hapa mchezo ulikuwa ni kuomba new birthcertificate kwa ajili ya miss Tanzania tu,vingine vyote vingebaki vya zamani,ndo ubaya wa kuanika maisha yako.
vya zamani vikibaki hata asingeanika rita wangeweza kuvujisha pia,heri angebadili jina halafu akanwe na wazazi wake hadharani
 
Nashangaa diamond kuvaa gwanda serikali yote imesimamisha shughuli sasa siti huyo akaojiwe kufoji cheti
 
Kama kweli kajivua basi ataje umri wake sahihi sasa. Na kama ana mtoto amwombe msamaha kwa kumkana.

Kamalizana na kesi na wananchi kwa kuachia taji. Sasa bado kesi namba 2 ya kudanganya umri wake na kufoji cheti. Kifungo chake ni miaka 3 jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…