Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Tungekuwa na vingozi makini uyu dada keshakwenda mahakamani faster kwa kulitia aibu taifa kusitisha haya mashindano
 
Habari za jion Watanzania wenzangu,kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana,maneno mengi yasiyo na tija juu ya ili taji la Umiss Tanzania 2014 mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu Tanzania,kwa roho safi nimeamua mwenye kujivua taji hilo na kuacha wanayeona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani,isiwe shida sana kwani sitegemi taji hili ili kuishi
HIVI NDIVYO ALIVYOPOST KWENYE WALL YAKE FB..FEW MINUTES PAST

attachment.php

#kazi kwake sasa Lundenga
imefanya kazi nzuri ya kumuumbua Lundenga
 
mlivyo mkomalia huyu dada mpaka kaamua kuvua taji basi na muikomalie ccm 2015 iondoke madarakani.
 
Kama watanzania tuna maneno ya kuchoma kiasi hiki basii tunaweza zisema maiti zikaamka kiruuuuu
 
Kama ni kweli huyu dada ni mjanja.... akigoma kuvua maana yake ataumbuka zaidi jambo ambalo hataki litokee...
 
sitt.png
Ni shidah... everything can break when put under continuous pressure..!!
 
unajua hapa mchezo ulikuwa ni kuomba new birthcertificate kwa ajili ya miss Tanzania tu,vingine vyote vingebaki vya zamani,ndo ubaya wa kuanika maisha yako.
vya zamani vikibaki hata asingeanika rita wangeweza kuvujisha pia,heri angebadili jina halafu akanwe na wazazi wake hadharani
 
Nashangaa diamond kuvaa gwanda serikali yote imesimamisha shughuli sasa siti huyo akaojiwe kufoji cheti
 
Kama kweli kajivua basi ataje umri wake sahihi sasa. Na kama ana mtoto amwombe msamaha kwa kumkana.

Kamalizana na kesi na wananchi kwa kuachia taji. Sasa bado kesi namba 2 ya kudanganya umri wake na kufoji cheti. Kifungo chake ni miaka 3 jela.
 
Back
Top Bottom