minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Sitti Mtemvu ameandika maneno hayo ya kujivua Umiss Tanzania katika Official Facebook Account yake.
Waweza kucheki Account hapa chini::::
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=696930777051665&id=692947964116613&refid=17
Kama mna namba yake mpigieni mwambie aingie humu JF asome maoni ya watanzania ili atambue jinsi walivyoipokea hii taarifa japo bado haijathibitishwa .