Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Jan 11, 2015 #21 Watu mmejaa husuda, kutwa majungu tu, leo kwake kesho..., fikirieni kazi sio majungu. songa mbele dada hawa ndio watakuja kuomba kazi kesho...
Watu mmejaa husuda, kutwa majungu tu, leo kwake kesho..., fikirieni kazi sio majungu. songa mbele dada hawa ndio watakuja kuomba kazi kesho...
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jan 11, 2015 #22 laki si pesa said: hata mimi namzimia sana Click to expand... Hunishindi mimi aiseee! sijui nitampatia wapi huyu nauli ya kwenda USA sina
laki si pesa said: hata mimi namzimia sana Click to expand... Hunishindi mimi aiseee! sijui nitampatia wapi huyu nauli ya kwenda USA sina
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 662 Jan 13, 2015 #23 Watu kwa utabiri! walisema uzi huu kupata wachangiaji 100ni kazi na kweli nauona unadoda sijui wamebahatisha au walikuwa na uhakika! wabongo wakikukalia kooni shida. sitti endelea na maisha yako sio mwisho wa mafanikio.
Watu kwa utabiri! walisema uzi huu kupata wachangiaji 100ni kazi na kweli nauona unadoda sijui wamebahatisha au walikuwa na uhakika! wabongo wakikukalia kooni shida. sitti endelea na maisha yako sio mwisho wa mafanikio.