Sitti Mtemvu fans' special thread: Njooni mkutane hapa

Sitti Mtemvu fans' special thread: Njooni mkutane hapa

Watu mmejaa husuda,
kutwa majungu tu,
leo kwake kesho...,
fikirieni kazi sio majungu.
songa mbele dada hawa ndio watakuja kuomba kazi kesho...
 
Watu kwa utabiri! walisema uzi huu kupata wachangiaji 100ni kazi na kweli nauona unadoda sijui wamebahatisha au walikuwa na uhakika! wabongo wakikukalia kooni shida. sitti endelea na maisha yako sio mwisho wa mafanikio.
 
Back
Top Bottom