Aviero 25
Member
- Jan 15, 2022
- 29
- 60
Greeting, hustler..[emoji110]
Kama kijana lazima ulijuwe hili, thread..
Sometimes utaona kama bahati mbaya ama Mungu kafanya makosa kukuleta tz ila naomba kuongea na wewe leo. Ikiwa bado kijana na una nguvu na akili timam basi mshukuru Mungu kukupa hii bahati ya kuwepo hapa tz..
Kabla sijaongea chochote first of all, change your mindset.. kwanin nasema ubadili namna unavyofikiri.. cz your mind is anything in your life, kwa maana unavyojiona leo ni matokeo uliyowaza muda wote ulioishi hapa duniani.
....
Okay, tuendelee..
Nch ya Tanzania ni moja ya nchi chache duniani zilizobarikiwa sana kwa kuwa na vitu vingi sana, Tanzania ina rasilimali nyingi kuanzia hifadhi ya misitu, mbuga za wanyama zaidi ya 16, mlima mrefu kuliko yote Africa, mito, mabonde, na ardhi yenye rutuba yenye kufaa kwa kilimo (tz ina ekari zinazokadiriwa kufikia millioni 29 nchi nzima zinazofaa kwa kilimo na hadi kufikia 2019 ekari zilizokuwa zimelimwa kati ya hizo zilikuwa ni chini ya ekari million 1 tu kwa nchi nzima).
Hata hivyo tz ina maziwa 3 (Victoria, tanganyika, nyasa) makubwa yenye maji Safi yanayochukuwa 6% ya sehemu yote ya eneo la nchi na pia nchi imezungukwa na Bahari upande wote wa pwani ya mashariki (tanga, bagamoyo, dar, mtwara) pia tz ina madini ya aina mbalimbali kam (madin ya chuma, dhahabu, makaa ya mawe, almasi, tanzanite) Gesi asilia na mafuta vyote hivyo vinapatikana tz...
Hata hivyo, uchumi wa Tanzania imekuwa tegemezi kwa muda mrefu sana, kwani kiasi cha bidhaa na huduma zinazozalishwa ni kidogo kuliko mahitaji na kufanya nchi kulazimika kuagiza zaidi bidhaa za nje kuliko nchi inavyouza bidhaa na huduma za nje ya nchi. Tz inaagiza zaidi ya bidhaa za chakula, kilimo na mafuta (petrol, dizel, kerosene, mafuta ya kula) huku nchi ambazo zinafanya biashara zaidi ya Tanzania zikiwa ni (China, india, UAE, S.africa, Switzerland).
Balance of trade in tz and other countries..
Mizani ya biashara baina ya tz na mataifa mengine haipo sawa kabisa, kwan tz inanunua zaidi kuliko inavyouza jambo ambalo ni hatar kwa uchumi wa taifa lolote lile duniani.
Wakazi wanaokadiriwa tz ni 60milion, kati ya hao 26 million ndio inatajwa kuwa ndio nguvu kazi ya taifa, youngs wapatao 800,000 wakiwa wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka, kilimo ndio kinatajwa kwa kuajiri watu wengi, sekta ya kilimo inatajwa kuajiri watu zaidi ya 70% ya wakazi wote nchini, Lakin hata hivyo kilimo bado hakijaweza kubadili maisha ya watu hao kwani bado idadi kubwa ya Wakulima ni masikini kwa kuwa wanalima kilimo kisicho na tija licha ya kundi kubwa kuajiriwa katika sekta hiyo, ila kama serikali ya tz ikiamua kufanyia marekebisho sekta ya kilimo na kukifanya kuwa na tija kwa wakulima wengi basi matatizo ya ajira na umasikini yanayotajwa kudhoofisha uchumi yatapunguwa kwani kilimo kitatengeneza ajira nyingi kwasabab kutakuwa na uhakika wa soko na mazingira wezeshi ya kulima kwa faida hivyo kufanya maisha ya Wakulima na watu wengine walio kwenye sekta hii kunufaika zaidi..
Guys, sitaki kuwachosha ila ninachokilenga hapa ni kuwafunguwa mindset than kuinvest some money and knowledge of this industry..
Naomba tuelewe tu kwamba taifa lolote likiwa na vijana wanojiweza kiuchum na kuwa na positive mindset, basi taifa hilo litapata maendeleo ya haraka na kuw mfano kwa mataifa mengine.
So every young (man & woman), elewa kwamba umasikini & utajiri haujawahi kuwa sehemu yoyote ile duniani isipo kuwa kwenye kichwa cha mtu husika, achan na zile Dhana za watoto wa mjini, mabishoo ila mifuko mibovu[emoji28]
....
Good time, hustler[emoji110]