Naweza kukuambia drones zote za wanamtandao zimebeba madafu!Kuna watu Wana vichwa na wengine Madafu
Unawaza uhuru kwa njia rahisi ya kujiuliza swali tu "Kwanini asiachiwe huru huyu mtu" bila hata kufikiri zaidi ya masafa ya mwisho wa swali lako...Naumizwa sana kuona Lissu anateseka hivi hata kama sikua upande wake. Kwanini asiachiwe huru huyu mtu? Kwanini taifa moja tufikie ngazi ya uadui kiasi hich jmn looooh
Ondoa wasiwasi. Tundu Lissu hateseki kwa maana ya kuteseka kwa tafsiri yako. Ni mtu ambaye Mungu anamtumia kwa ajili ya ukombozi wa nchi na taifa hili. Mungu hatarhusu afe wala hata kuumizwa kimwili mpaka kusudi lake litimie...π―ππππͺπΏβπΏUnawaza uhuru kwa njia rahisi ya kujiuliza swali tu "Kwanini asiachiwe huru huyu mtu" bila hata kufikiri zaidi ya masafa ya mwisho wa swali lako...
Sikia ndugu braity, njia ya Mungu kuwakomboa watu wake wakati mwingine huwa hazieleweki wala kuelezeka kirahisi kwa wanadamu...
Hebu jaribu kufikiri, Yesu Kristo alionewa huruma na watu wangapi ktk mateso aliyopitia ktk kumkomboa mwanadamu na ulimwengu toka ktk utawala wa shetani..?
Huruma ya kibinadamu haikuzuia Mungu kupita njia hiyo. Ilikuwa ni lazima tu mtu asiye na doa la uchafu wa dhambi afe, amwage damu yake ili mimi na wewe tuokolewe..
Back to you against Tundu Lissu:
Ondoa wasiwasi. Tundu Lissu hateseki kwa maana ya kuteseka kwa tafsiri yako. Ni mtu ambaye Mungu anamtumia kwa ajili ya ukombozi wa nchi na taifa hili. Mungu hatarhusu afe wala hata kuumizwa kimwili mpaka kusudi lake litimie...
By the time amemaliza kazi yake, huwezi hata kujua hawa unaowaona wanamtesa wamepotelea wapi...ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈ!!
Mkuu 'Mshana Jr.', umetuonea sana leo.naonekana inside sources kuna baadhi ya legal officers ni dual agents, wanahudumia sheria mchana, lakini usiku wana access ya moja kwa moja kwenye executive corridor.
Credit: FB
Lissu, Tanzania inaye; haendi popote.Ondoa wasiwasi. Tundu Lissu hateseki kwa maana ya kuteseka kwa tafsiri yako. Ni mtu ambaye Mungu anamtumia kwa ajili ya ukombozi wa nchi na taifa hili. Mungu hatarhusu afe wala hata kuumizwa kimwili mpaka kusudi lake litimie...π―ππππͺπΏβπΏ
Nimependa jinsi ulivyoandika huu uzi.Kuna kelele za kawaida kwa wanaoitazama kwa juu uso wa kesi hii, lakini ndani ya frequency ya Court Chamber Alpha, operesheni hii imevuka kiwango cha kesi.
Kilichoonekana leo ni intel chessboard upande mmoja unacheza na maswali, mwingine na ukimya.
Kila swali lililotoka kwenye midomo ya Operative L, limebeba micro detonator ya kisaikolojia, halilengi jibu, linatafuta reaction chain.
Kwa walioko ndani ya mduara wa siri, wanajua hii si cross-examination ya kawaida. Ni data extraction maneuver inayo test loyalty architecture ya system nzima.
Operative L ametupa probes kwenye neural map ya structure. Alikuwa naanza juu juu, akionekana kuuliza maswali ya kisheria, lakini ndani ya kila swali kuna data packet yenye malengo matatu.
Kwanza, To expose hidden allegiance.
Kila jina alilolitaja kuanzia Werema, Masaju, Feleshi, Rumanyika lilikuwa code beacon. Anatafuta pattern of loyalty, sio majibu ya karatasi.
Pili, To test the firewall.
Jibu la shahidi "sijui" limekuwa standard encryption response kwa upande wa defense. Lakini kwa macho ya intel, "sijui" si ujinga ni cover protocol.
Tatu To provoke the systemβs reflex.
Kila wakati Falcon Speaker alipogusa jina lenye power proximity, kuna vibration kwenye ukuta wa mahakama. Majaji walijadiliana, wakijaribu kudhibiti exposure. Hiyo ni panic signal.
Inaonekana inside sources kuna baadhi ya legal officers ni dual agents, wanahudumia sheria mchana, lakini usiku wana access ya moja kwa moja kwenye executive corridor.
Credit: FB
Safari hii mambo yamekuwa si mazuri sana kwa wanaotegemea kuifuatilia humu humu JF!Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali