Siuelewi mchepuko wa dogo

Siuelewi mchepuko wa dogo

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Dogo ana mchepuko wake umenizoea sana, mpaka imefikia hatua una wivu na mimi. Yaani usiponiona siku 2 unalalamika hatari.

Nilimkuta na rafiki yake mmoja nikamwambia namtaka anifanyie mpango wa namba, akakubali lakini hakuwahi nambia chochote na kama alipotezea. Juzi nulisafiri kikazi, wakati nipo huku nikamwambia nina mpango wa kuhamia huku, nilipoenda kikazi we ulituma ujumbe za kulalamika kwamba sijui ni kwanini umejisikia wivu.

Kuna siku ilikuwa saa saba usiku nilimdanganya sijarudi nyumbani kuna mahali nimekaa, si ukasema utoroke kwao uje nikachomoa. Je, wakuu huyu mchepuko mnamuonaje, anataka nimpige dushe au?
 
Hyo lafudh yako tatzo mkuu
 
Code for gentlemen
Usidate na mpenz wa rafiki yako,
Hata Kama wameshaachana[emoji41]
 
Uyo ana target zake ipo ivi madem weng uwa wanaangalia maslah kagndua we ndo sponser uyo dogo labd hana ktu au una uwezo wa juu kulko uyo dogo kwaiy anatak apge chin ajiweke kwako ht km atawagombansha ye ajl anatzm maslah yke zaid ndo walv madem wng
 
Tukikuita mtoto utasema tunakutukana,,,,,yana umemaliza wale wanawake wakwenye sensa mpaka ule demu wa mdogo wako????
 
Back
Top Bottom