Siungi mkono JWTZ kwenda kupigana na Rwanda au M23

NCHI lazima ina uwezo kulinda maslahi yake kidiplomasia na ikibidi kijeshi pia!

Tumefanya investment kubwa sana kwenye ziwa Tanganyika kuyalenga masoko ya Congo! Tunaachaje soko liharibiwe tu!
 
Hii vita Ina siri nyingi sana kuliko tunachokiona, Kuna uwezekano hao askari wa SADC na wakubwa wa hizo nchi za SADC walikuwa na biashara inayoendelea huko DRC nje ya ulinzi wa amani.
 
Nyie Bando la wiki ni my bro, mjeshi naona anajihami kwanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kaka kazi ya jeshi ni kugangamala, hakuna namna. Halafu hii nchi ni tajiri huoni viongozi, wanavyoelewa kwenye bahari ya utajiri? Umasikini uko kwa wananchi wa kawaida, hasa wasio na vyeo Serikalini wala mamlaka zozote. Nenda vitani kaka 😜
 
waje kufanya nini? hayo ni mawazo yasiyo na maana na ya kichochezi! vita siyo nzuri na hatutaki na wala haituhusu kabisa
 
Kwa nini JWTZ iende kupigana na Rwanda au M23?
Ikapigane kwa sababu gani hasa na kwa maslahi ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…