Siungi mkono kurudia usahihishaji matokeo kidato cha nne

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,121
Reaction score
885
Watanzania wenzangu Serikali imetanganza kufuta matokeo yote ya kidato cha nne na kusahhisha upya
Binafsi sioni kama ndio dawa ya tatizo hilo!! Serikali ingeweza kuwafanya watahiniwa warudie tena mtihani wao!!Sababu hata ambao walichora Zombie wajipe muda wa kujisomea upya!! Baadhi ya wanafunzi waliomba kusahihishiwa upya lakini matokeo yalionyesha wengi walifeli zaidi!!Nikionacho mimi ni wizara kujaribu kufuta hizo zero ili kuweka takwimu sawa ila hatutakua tumeisaidia Elimu yenyewe kitaaluma!!
 
We unadhan kurudia mtihan ni kazi ndogo au unaongea tu?ungekuwa wewe ndo mtahiniwa wa mwaka jana na umefel au umepata alama ambazo haukurizika nazo kisha ukaambiwa kuwa wanasahihisha upya nadhan ungefurah sana?Then haina sababu ya wewe kukataa wakat umeshaambiwa kuwa grade zilikuwa tofauti na zile ya 2011 so kwanini wanafunz wasipewe kile wanachostahili kama miaka mingine walivyofanya?

Naungana na uamuz wa viongoz ni bora tukafanya mambo kwa haki kila mtu apate anachopaswa kupata,wasiwape wanafunzi alama nyingi ili tuisifie serikali wala wasiwaonee wanafunzi....
 

Mkuu naona ww bado unasomeshwa hujui uchungu wakumsomesha mtoto na akafeli, wazee wenzangu watakuelimisha zaidi. Hapo kwenye red, inaonyesha kiwango cha upopompo wako.
 

mkuu hapo kwenye red nieleweshe kidogo.. Wakimark upya ndo mtu unapass??
 
usiombe kupata alama usizotarajia kwa mfano kuna watu walokuwa na juhudi na katika masomo yao ya mtihan wa mock wamepata dv 2 au 1.Ila necta wamepata four za 26 up tu 29.kuna huwiano wowote hapo??UNGA MKONO WEWE
 
Nijuavyo ka sasa matokeo ya A kujiunga A level ilitakiwa yawe tayari,yaelekea wamekosa kabisa wanafunzi wa kuingia A ,sasa huo mtihani watahusahishaje haraka kwa muujiza hupu ili u-march na term za wanafunzi?pia mimi sioni kama ni busara kurudia kusahisha
 
Mkuu naona ww bado unasomeshwa hujui uchungu wakumsomesha mtoto na akafeli, wazee wenzangu watakuelimisha zaidi. Hapo kwenye red, inaonyesha kiwango cha upopompo wako.
Mie sisomeshwi nasomesha na mimi wakati mtihani ulipovuja 1998 nilikua mmoja wa wanafunzi waliorudia!! maana ya kuanzika haya ni uchunguzi wangu nilioufanya mara baada ya haya matokeo kutoka wanafunzi wengi walisema hakuna vitabu na walimu pia hawatoshi na tuliona wakati Ndalichako akitangaza matokeo alionyesha watu walivochora mazombie na uchafu mwingine!! swali kwa mnao ona nimekosea matokeo yakija mabaya zaidi ya mnavyotarajia waliofeli mtawapeleka wapi?
 
usahihishaji,umechangia vipi kufeli?naomba alosikiliza riporti anijuze
 
Mkuu naona ww bado unasomeshwa hujui uchungu wakumsomesha mtoto na akafeli, wazee wenzangu watakuelimisha zaidi. Hapo kwenye red, inaonyesha kiwango cha upopompo wako.


kwa muendo huu ni sawa na mwanao agerezee kwa mwenzake then afaulu huku wewe kama mzazi ukijua yakuwa ni mbumbumbu unafuraia
 
Haya wapewe hizo A,B,C mtakuja kuona watavyoishia kuishi mitaani na kulalamika hakuna kazi
 
Achen kupotosha... Hakuna mtihan utakosahihishwa upya bali kuna upangaji mpya wa alama za ufahulu ambao hauchukui muda na almost ni kama mwezi mmoja tu.
 
Mkuu naona ww bado unasomeshwa hujui uchungu wakumsomesha mtoto na akafeli, wazee wenzangu watakuelimisha zaidi. Hapo kwenye red, inaonyesha kiwango cha upopompo wako.
Hata kama alikuwa hajiwezi unataka afaulu kwa sababu unaona uchungu wa kumsomesha, ki ukweli lolote watalofanya kwa sasa shule nyingi hasa za serikali na kata hazina sifa ya kuitwa shule watakachokifanya ni kufaulisha watoto wakati uwezo wao ni mdogo unaochangiwa na hali halisi ya shule zetu na mfumo wa elimu. je hili hawakuliona mapema kabla ya kutoka matokeo au ndio mambo ya kubahatisha tunazidi kujishushia heshima duniani
 
Achen kupotosha... Hakuna mtihan utakosahihishwa upya bali kuna upangaji mpya wa alama za ufahulu ambao hauchukui muda na almost ni kama mwezi mmoja tu.
Huo upangaji kwanini uwe sasa je hawakuliona hilo mapema kabla ya kutangaza? kinachofanika sasahivi ni udanganyifu ila ukweli umeshajulikana hali ya elimu ni mbaya umebaki ujanja ujanja kama huo unakwenda kufanyika
 
we ulieleta hii post mikundu yako,hujui watu tuliofanya mitihan then tukafeli jinc tulivyoumia.... km we unaona kurudia kufanya mtihan kazi rahisi peleka ------ yako yakafanye.. watu tunamshukuru mungu kwa kutupigania tupate haki yetu we unaleta mada za kisenge.. hakyamungu we m2 umenkera sana yaan.
MODS samahanin kwa matuc hili senge limenikera kwel ila km mtanipiga ban poa 2 ila icwe ya mda mrefu sana
 

ukipona BAN nitaomba wanipe mm
 
sikuungi mkono aliejichorea zombie nikajitakia mwenywe na kapenda lakini kuna watu walio take mtihani serious na kurudia usaishaji ni jambo sahihi na siyo kurudia mtihani wanafunzi wengi wameshasahau hata vilvyokuwa vikifunfishwa
 
coni 7bu ya kurudia hayo matokeo, wakujinyonga wamesha jinyonga! wakuolewa wameshaolewa! wakukata tamaa wameshakata na kupata moyo washa pata! cha msingi watoe ya kidato cha sita 2jue moja
 
daah,,,jamani tuwe waelewa,,hawasahishi karatasi bali wanarudia upangaji wa grade ambao huwa unatumika mashuleni sio ule ambao necta wametumia kwenye mtihani huo bila taarifa,,,,,tuwe waelewa,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…