Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 885
Watanzania wenzangu Serikali imetanganza kufuta matokeo yote ya kidato cha nne na kusahhisha upya
Binafsi sioni kama ndio dawa ya tatizo hilo!! Serikali ingeweza kuwafanya watahiniwa warudie tena mtihani wao!!Sababu hata ambao walichora Zombie wajipe muda wa kujisomea upya!! Baadhi ya wanafunzi waliomba kusahihishiwa upya lakini matokeo yalionyesha wengi walifeli zaidi!!Nikionacho mimi ni wizara kujaribu kufuta hizo zero ili kuweka takwimu sawa ila hatutakua tumeisaidia Elimu yenyewe kitaaluma!!