Dancani
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 796
- 403
Wengi wao walipa ziro kama itatumika grade ya zamani wengi watapata div 4 kwa ku assume wote waziro walikuwa na wastani wa marks 35 ambayo itakuwa D kwa sasa je ndio dhumuni la watahiniwa?daah,,,jamani tuwe waelewa,,hawasahishi karatasi bali wanarudia upangaji wa grade ambao huwa unatumika mashuleni sio ule ambao necta wametumia kwenye mtihani huo bila taarifa,,,,,tuwe waelewa,,,,