bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
- Thread starter
- #21
Huyu huyu African lyon katoa draw na Azam na pia mzunguko wa Kwanza kamfunga Simba Sasa leo tatizo lipo wapi mkuu kudraw na Yanga mpaka kusema Yanga anabebwa?Si mliwazoesha "wakimataifa" sasa mnalalamika nini?Mmetoa droo. Look at the positive side. Mngeweza kufungwa. Pointi 1 sio haba hasa ukitilia maanani marefarii wanaogopa kuwabeba baada ya mkwara wa mwenzao Saanya.