Siungi mkono wachezaji wa Yanga kumgomea kocha mazoezi

Si mliwazoesha "wakimataifa" sasa mnalalamika nini?Mmetoa droo. Look at the positive side. Mngeweza kufungwa. Pointi 1 sio haba hasa ukitilia maanani marefarii wanaogopa kuwabeba baada ya mkwara wa mwenzao Saanya.
Huyu huyu African lyon katoa draw na Azam na pia mzunguko wa Kwanza kamfunga Simba Sasa leo tatizo lipo wapi mkuu kudraw na Yanga mpaka kusema Yanga anabebwa?
 
Uwezi kufanya kazi kama ujalipwa. Sio wajinga kugoma ni wanataka stahiki zao. Ndio maana ujasikia wakilalamikiwa na viongozi kwasababu ni haki yao.
Tatizo sio viongozi tatizo ni vipi programu za kocha zimefurugika hata angepoteza mchezo wa leo alikua nala kujitetea
 
Huyu huyu African lyon katoa draw na Azam na pia mzunguko wa Kwanza kamfunga Simba Sasa leo tatizo lipo wapi mkuu kudraw na Yanga mpaka kusema Yanga anabebwa?
Mkuu rudia kusoma nilichoandika au historia inakuhukumu?Nimeandika mmebebwa?Soma tena.
 
Mkuu rudia kusoma nilichoandika au historia inakuhukumu?Nimeandika mmebebwa?Soma tena.
Marefarii wanaogopa kuwabeba baada ya mkwara wa mwenzao Saanya au sio mwandiko wako huo mkuu?
 
Refa akiogopa kuwabeba maana yake nini?Mkuu lugha inakupa tabu nini?
 
Mkuu hapo umeongea kishabiki yule kipa wa African Lyon alijiangusha na kupelekewa kuzawadiwa kadi ya njano hivyo ilibid refa kufidia ule muda wa nyongeza sheria za sasa ni tofauti na zamani hata zile dakika za nyongeza muda unasimamishwa
sijaongea kishabiki rudia kusoma andiko langu vizuri nimezungumzia timu kubwa zote na nimetoa mfano wa mechi ya Leo hizo nyongeza ndani ya nyongeza si kweli na ndo maana hatuendelei kwa sababu ya usimba na uyanga hatupendangi ukweli na ndo maana huoni refa mtanzania kuchezesha michuano mikubwa.
 
Gazeti la champion lina sababu tofauti na mshahara
Siku hizi huwa nalisoma vichwa vya habari redioni na Millard Ayo, naachana nalo, na mwenzio mwanaspoti! Wachonganishi wakubwa kwa football.
 
Kawalipe mishahara
Ile sio chama chetu cha politiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…