Mbabaishaji
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 121
- 215
Umetoa wapi hii marufuku?Msanii, kiongozi yoyote wa kidini na public figure yeyote ambaye jamii yote inakutazama bila kujali dini, kabila na rangi yako, ni marufuku kujihusisha na masuala ya siasa na kuonyesha itikadi zako moja kwa moja kwa jamii inayokuangalia bila kujali support wanayokupa watu hao.
Chama Cha mapinduzi,
Hakina kosa lolote kilikuwepo toka tunaita TANU,Ni chama kinachojulikana sehemu kubwa Sana Tanzania nzima.
Kimemulika kata huko vijijini ndani ndani ambako wakazi wa huko hawajui hata maana ya Chadema,CUF n.k,ukweli unaouma Ni kuwa Diamond platinum anaonewa Sana ,Tena Sana.
Pasi na Shaka Mimi najua wasanii wengi hata siasa hawajui vizuri,wanachoangalia wao Ni wapi wakijiunga watajipatia mkate wao wa kila siku,
Sanaa Ni ofisi yao,Ni kazi yao,Ni sehemu ya vipato vyao,hata ingekuwa mimi aina ya serikali ya awamu iliyopita Ni msanii gani angeonesha kutokusapoti?nisieleweke vibaya ila adui akikushinda nguvu ungana nae,
Sisi tupo huku nyuma ya keyboard tunakosoa tutakavyo kwakuwa si rahisi sisi kuonekana, Diamond platinum Ni brand tayari inayoonekana,
Myself nitampigia kura Diamond platinum,kwakuwa Ni mtanzania mwenzangu,na ni sehemu ya kuendelea kumuunga mkono
Burna boy Ni mega artist kwa Sasa ana vigezo vingi japokuwa Mimi simpigii kura
NB: kila mmoja ana Uhuru wa kumchagua amtakaye awe,Chadema, CCM,Simba,Yanga,awe timu kiba,n.k
Umetoa wapi hii marufuku?
Ameajiri watz au waccm? Hujui tz kuwa CCM unakuwa raia wa daraja la juu kuliko mtu asiyefungamana na upande wowote?Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi.
Hivi unajiuliza hawa CHADEMA hizi kampeni zina mkono wa chama chao au ni kikundi cha watu tu wa CHADEMA wameamua kukichafua hicho chama.
Nchi hii ipo huru kuwa mpenzi wa chama chochote, iweje mtu akiwa mpenzi wa CCM aonekane ni msaliti?
Diamond ameanzisha Wasafi Radio na Wasafi TV. Kupitia hivyo vyombo vya habari ametoa ajira nyingi kwa watanzania. Ni mwanamuziki gani mwingine wa Tanzania ambaye ameweza kuanzisha vitu vinavyoajiri watu wengi kiasi hicho?
Hebu tuache chuki za kijinga.