Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kutofautisha Kati ya Chama na wafuasi wa chama
Haya mambo ya TV/Radio. These are petty issues. Kuna vutu FUNDAMENTAL. Huyu alikiuka fundamental obligation ya kupinga udhalimu wa CCM. Alishirikiana na watesi, wauaji, wabakaji, watekaji, wauaji, wabambkia kesi etc etc. Hivyo Nasibu apingwe kwa kila hali. Wanachokifanya uliowataja, wako sahihi kabisa.
NOTE: CDM haihusiki na hilo. Hakuna kauli ya CDM kuhusu hilo. Do not speculate
Endelea kula miguu ya kuku na shingo kigogo huko ahahahahhhhaahaAtakuja zuchu na lava lava [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hauna mda kaa pembeni , wapo watu kibao wenye mda watapiga kura kama kawaidaNani kasema nimelazimishwa? Huo muda wa kumpigia mtu kura sina.
Sasa Leo insta wamepost clip wapo huko yard wanakagua RR ya kununua, comments za watu sasa mie mbavu sina mweeeeh.RR tangia 2014 bado haijafika tu bongo.. 😀 😀
Poleeeeh kwa kuteseka aseeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaeteseka ni kigogo, siasa imemshinda sasa anaangaika na BET, mimi natwanga hoja dhaifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka San kwa kweli, khaaaaahEndelea kula miguu ya kuku na shingo kigogo huko ahahahahhhhaaha
Domokaya mwenyewe mnafiki na mbaya, nani asiye mjua khaaaah.
Na safari hii tutaua sana sisimizi kwa nyundo, kazi za wanaume huwezi kuwapa wavulanaPoleeeeh kwa kuteseka aseeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno mbofu mbofu hapa tunayasafisha bila sabuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka San kwa kweli, khaaaaah
Super Brand ile hawezi kutishwa na vibonzoDomokaya mwenyewe mnafiki na mbaya, nani asiye mjua khaaaah.
Safari hii ndo atajua hajui, msieeeeew zake.
Mmakonde anaangaika sana akaungane na kigogo moja kwa moja ahahaha
Kumbe unawafatilia hivyo, Anaeteseka ni Nani? ahahahahahaSasa Leo insta wamepost clip wapo huko yard wanakagua RR ya kununua, comments za watu sasa mie mbavu sina mweeeeh.
Kweli watu wamevurugwa wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes nimekaa pembeni ndiomana nikasema apambane. Unakichwa cha kuku huelewi jambo dogo hivi?.Kama hauna mda kaa pembeni , wapo watu kibao wenye mda watapiga kura kama kawaida
Kitendo cha kuandika bado ujakaa pembeni, kukaa pembeni ni kupita kimya kimya, bila kuchangia chochoteYes nimekaa pembeni ndiomana nikasema apambane. Unakichwa cha kuku huelewi jambo dogo hivi?.
Jifunze kwanza kuandika bwana mdogo. Halafu usipangie watu cha kufanya nadhani utakuwa umeelewa.Kitendo cha kuandika bado ujakaa pembeni, kukaa pembeni ni kupita kimya kimya, bila kuchangia chochote
Kitendo cha kuandika bado ujakaa pembeni, kukaa pembeni ni kupita kimya kimya, bila kuchangia chochoteYes nimekaa pembeni ndiomana nikasema apambane. Unakichwa cha kuku huelewi jambo dogo hivi?.
Unaonekana unaandika usicho kijua, labda ukae kwenye pembe ya nyumba, lakini sio pembeniJifunze kwanza kuandika bwana mdogo. Halafu usipangie watu cha kufanya nadhani utakuwa umeelewa.