Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

HV kweli. Mondi akataee dili la billion mbili kisa cdm mbna cdm hawaeleweki wameingiza siasa Tena
 
Penye hoja ya nguvu (dola/mabavu) upande wa kwanza, weka mahaba upande wa pili. Inaitwa kulipa ubaya kwa wema!
Hapa ni JF hakuna hoja ya mabavu maana hakuna dola humu , hapa ni hoja yenye mashiko, Kwahiyo ukileta janja ya mahaba yako kufanya ni hoja yenye mashiko lazima utapike tuuu
 
Vanboy wako alichukua ipi hiyo? Ile isiyokua na tija lolote? [emoji23][emoji23][emoji23] walllah hivi vichekesho mweeeeh.
Yaani BET waweke tuzo halafu wewe mtu wa kigogo useme haina tija?ahahaha nchi hii ina vituko sana ,kama ni rahisi anzisha yako halafu andika BET uone nani atakuja huko kwako kuchukua
 
Halafu huyu wizkid ni mwafrica mwenzetu sa si bora tumsapoti huyu akatuwakilishe kibara mazee?

Huyu burnaboy Domokaya bado sijawanyaka fresh, ila sio mbaya nina device 5 kura 3 zitaenda kwa wizkid halafu hizo mbili nazi supply kwa hao wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh hatareeh sana.
 
Haya madogo sana , yalishapita makubwa hawezi kuyumba kwa kushindwa na Burna boy, maana nae ni msanii mkubwa, labda angeshindwa na Kiba lingekuwa tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23] unateseka kweli yaan lol.
 
Ashinde asishinde atajijua yeye na familia yake ila akale alipoleka mboga,wewe na nzi wa kijani wenzako mpigieni kura kuanzia 7 June 2021,sisi tunaenda na BUNABOI.

Ndio kwanza Forbes imeweka historia ya kuwa na Bilionea anyeishi nyumba ya KUPANGA..... 😀 😀 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na RR ya kuchora. Wakati kina Davido wanapigia misele Abuja, lol
 
Yaani BET waweke tuzo halafu wewe mtu wa kigogo useme haina tija?ahahaha nchi hii ina vituko sana ,kama ni rahisi anzisha yako halafu andika BET uone nani atakuja huko kwako kuchukua
Atakuja zuchu na lava lava [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanachuki na mafanikio ya diamond maana wasanii wote walifanya show kwenye kampeni za ccm ila diamond anachukiwa sababu ya kufanikiwa sana kuliko mtz yeyote kwenye mziki
 
Watu wanachuki na mafanikio ya diamond maana wasanii wote walifanya show kwenye kampeni za ccm ila diamond anachukiwa sababu ya kufanikiwa sana kuliko mtz yeyote kwenye mziki
Iyo sio sababu anachukiwa sababu Ana maneno na kauli chafu dhidi ya wenzake .aache Kwanza chuki yeye ndo watu wataacha kumchukia.pitia interview zake utagundua kwanini watu wanamchukia awe humble Aya maisha tu.walikuwepo akina Michael Jackson mtu was pili kwa umaarufu baada ya Jesus Christ yuko wapi leo?
 
Kama kweli ni CDM basi kua na amani... Rejea ushindi wa uchaguzi mkuu CCM walivyoshinda so wakiamua kumsapot CDM ni wachache sana...

Ila usitake ukipendacho kipendwe!!
 
Wako huru kumsapoti yeyote kama wewe ulivyo huru kumsapoti diamond, halafu kama ni wanaharakati wa kisiasa wako sahihi kwanini unataka wamsapoti aliyeungana na watesi wao CCM kuwateka, kuwaua, kuwanyanyasa na kuwabeza kwa nyimbo zake?
Kazi ya CHADEMA ni kujihusisha na siasa au miziki ya kimataifa? Au siasa zinaingiaje kwenye muziki ?
 
Back
Top Bottom