Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Category ya diamond haina mass voting ina kura 500 tu za watu maalumu.
Kura 500 anagombea nini kumtofautisha na wizkid?

Nataka kujua hicho kinyang'anyio cha kura 500 yuko na nani mwingine nimjue ili nisifanye makosa?
 
Akili yako ndogo sana. Sometimes panua akili yako iwe kubwa kama mdomo wa boss wako
Hapa umekutana na gogo aswa, hiyo ni tuzo ya BET kama tuzo nyingine, na kwa taarifa hiyo tuzo Ata yule mcheza filamu wa Nigeria anaitwa Falz alishachukua, hapa hatubahatishi
 
Hakuna ubaya wowote...ndiyo demokrasia yenyewe. Kila mtu anaamua lile analoliona ni jema kwake.

Just like Diamond mwenyewe alivyoamua kumkumbatia Mtanzania Magufuli na kumshutumu Mtanzania Lissu. It was his choice. Wacha na wengine nao wafanye choices zao!
Ahahahahaha kumbe sio hoja ni mahaba tu, ili tumelichukua, maana kama ni hoja Aina pakushikia
 
Hapa umekutana na gogo aswa, hiyo ni tuzo ya BET kama tuzo nyingine, na kwa taarifa hiyo tuzo Ata yule mcheza filamu wa Nigeria anaitwa Falz alishachukua, hapa hatubahatishi
Falz ni mcheza filamu zipi ?

BET viewers choice ni kituzo koko cha kuchonga tu. Brand BET isikufanye ukazaa kwa uchungu kila mwaka. Hiyo tuzo haina tofauti na tuzo za Hbaba, wanapewa wasanii wenye matiti
 
Mkuu mbona Ata Konde boy alitoa nyimbo tamuu ya kumsifia Magufuli, vile vile amechora tattoo ya Magufuli mguu, vile vile alilia Instagram live, au mna muacha kwanza mpaka apate nomination BET ndio hasira zenu zinakuja?
Lila mtu anaju harmonize ni mentalcase
 
Falz ni mcheza filamu zipi ?

BET viewers choice ni kituzo koko cha kuchonga tu. Brand BET isikufanye ukazaa kwa uchungu kila mwaka. Hiyo tuzo haina tofauti na tuzo za Hbaba, wanapewa wasanii wenye matiti
Ni mcheza filamu kutoka nchini Nigeria kazi kwako kumtafuta, BET ni tuzo kama tuzo zingine za BET, kama unafikiri ni rahisi chonga zako na wewe uwape wasanii wako
 
Huyo kigogo naonaga anaichafua chadema tu. Ashaanza kua na akili za mange kimambi na yeye.
 
Na kwanini utaabike kulliangalia wakati lipo?

Nyie hamjui akiba na ndio maana mnatazama salio
Muhimu Ata asipoliangalia tunajua analo kubwa tuu, ndio maana tunakula nae sahani moja
 
Kitu cha ajabu ambacho wengi Hawai’i ni kuwa hata CDM wasipopiga kura Bado Diamond hachukui!!! Hata CCM plus CUF weka na wafuasi wa TLP Bado Burnaboy na Wizkid watamkimbiza tu Nasib mbali sana.
Halafu hizi tunzo hawaangalii umeanzisha kituo cha redio au television [emoji16] ni ishu za music achievement. Na kwenye fikra hiyo basi Nasib awe mpole tu.
Jana walikuwa wanasema wapinzani wanatetemeka kwa ajili ya kumsifia mwendazake leo wanaomba wakapigiwe kura [emoji16][emoji16][emoji16] Duuh Dunia hii Noma
 
Ni mcheza filamu kutoka nchini Nigeria kazi kwako kumtafuta, BET ni tuzo kama tuzo zingine za BET, kama unafikiri ni rahisi chonga zako na wewe huwape wasanii wako
Hujui kusoma. Ndio maana umegeuka msukule. Kasome tena KKK.
 
Hujui kusoma. Ndio maana umegeuka msukule. Kasome tena KKK.
Uandishi ni kosa la kinadamu,hilo halina tatizo ndio maana mda wote umekosa kosa hilo, halafu sio Kusoma humu JF tunaandika atusikilizishani sauti ahahahahaha Bila shaka hoja zimekuisha
 
Ahahahahaha kumbe sio hoja ni mahaba tu, ili tumelichukua, maana kama ni hoja Aina pakushikia
Mahaba ni demokrasia 100%.
Hoja inaweza isiwe demokrasia kwani inaweza kuwa ni "hoja ya nguvu (mabavu/dola)".
 
Back
Top Bottom