Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Mtu ukimpuuza hawezi kukusumbua wala uwezi mpa mda wako, wewe kama kwako hana impact achana nae
Mtu ambaye ukimpuuza ana puuzika ni yule asiye na mdomo. Mwenye mdomo hata ukimpuuza atautumia mdomo huo huo kuja kwenye angle zako just to irritate you
 
Mtu ambaye ukimpuuza ana puuzika ni yule asiye na mdomo. Mwenye mdomo hata ukimpuuza atautumia mdomo huo huo kuja kwenye angle zako just to irritate you
Labda kama huko WCB media au label, kinyume cha hapo ni wewe ndio kihere here na bando lako
 
Ndo yupo category 1 na Burna Boyy na Domokaya, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu huyu wizkid ni mwafrica mwenzetu sa si bora tumsapoti huyu akatuwakilishe kibara mazee?

Huyu burnaboy Domokaya bado sijawanyaka fresh, ila sio mbaya nina device 5 kura 3 zitaenda kwa wizkid halafu hizo mbili nazi supply kwa hao wawili.
 
Nimemuona mtu ambaye amewahi kuwa mayor kupitia chadema naye anasheherekea hili.
Tunasema magu aliligawa taifa kwa kutumia itikadi za vyama, sasa hii movement inafanya nini kama siyo kufanya yale yale
Mayor sio Chama mkuu?
 
Kuhamasishana ili watu wasimpgie kura mtu kutokana na itikadi yake ya kisiasa huo ni uadui. Hauna tofauti na magu alivyokuwa anawaweka ndani wapinzani. Na huenda kama wangekuwa na madaraka nao wangefanya kama magu
Siasa Zina consequences zake...

Diamond hizi ndio consequences zake.

Umesahau kilichowakumba Bongo Movie??? Baada ya kujihusisha na Mambo ya siasa ? Hizo ndio consequences za siasa acha wavune walichokipanda.

Ukijiunga na siasa himili na matokeo yake. Acha diamond ahimili haya matokeo.
 
Mimi Sina tatizo na watu kutompigia kura Diamond huo ni Uhuru wao, ambacho mimi napinga ni kujaribu kumshutumu Diamond kwa kuwa tu ni ccm, wakati kuwa ccm sio kosa, ni jambo la uchaguzi binafsi, kama Simba au Yanga
Kumshutumu kuwa yeye ni CCM siyo tusi, na pia kumnyima kura kwa sababu yeye ni CCM wala si dhambi. Hata yeye Diamond anavyowashutumu wasio wana CCM siyo tusi - ni haki yake kama ambavyo naye alivyowanyima kura.

Kushutumiana na kunyimana kura ni part and parcel ya demorasia ya kweli.
 
Kwanini ashutumiwe yeye ni ccm , halafu wasanii wengine ambao ni ccm kama yeye wanawakumbatia? Ndio hapo tunapata mashaka na hii hoja yao dhaifu mno
 
Siasa Zina consequences zake...

Diamond hizi ndio consequences zake.

Umesahau kilichowakumba Bongo Movie??? Baada ya kujihusisha na Mambo ya siasa ? Hizo ndio consequences za siasa acha wavune walichokipanda.

Ukijiunga na siasa himili na matokeo yake. Acha diamond ahimili haya matokeo.
Haya madogo sana , yalishapita makubwa hawezi kuyumba kwa kushindwa na Burna boy, maana nae ni msanii mkubwa, labda angeshindwa na Kiba lingekuwa tatizo
 
Halafu huyu wizkid ni mwafrica mwenzetu sa si bora tumsapoti huyu akatuwakilishe kibara mazee?

Huyu burnaboy Domokaya bado sijawanyaka fresh, ila sio mbaya nina device 5 kura 3 zitaenda kwa wizkid halafu hizo mbili nazi supply kwa hao wawili.
Category ya diamond haina mass voting ina kura 500 tu za watu maalumu.
 
Kwanini ashutumiwe yeye ni ccm , halafu wasanii wengine ambao ni ccm kama yeye wanawakumbatia? Ndio hapo tunapata mashaka na hii hoja yao dhaifu mno
Hakuna ubaya wowote...ndiyo demokrasia yenyewe. Kila mtu anaamua lile analoliona ni jema kwake.

Just like Diamond mwenyewe alivyoamua kumkumbatia Mtanzania Magufuli na kumshutumu Mtanzania Lissu. It was his choice. Wacha na wengine nao wafanye choices zao!
 
Back
Top Bottom