miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Na mimi wa 26 mkuu[emoji23][emoji23] na naenda kuwa balozi kuongeza chain. Ni bana boi tuu hakuna mwingineMimi naona wanaosema hawatampigia kura Diamond na kufanya kampeni ya kufanikisha ni haki yao.
Halikadhalika na wale wanaofanya kampeni ya kumpigia kura Diamond nao pia wapo sahihi - ni haki yao.
Siielewi hii hoja ya hawa wawili eti mmoja kumnyima uhuru wa maoni mwenziwe - kivipi?
Mimi kwa mfano sitampigia kura Diamond na tayari nimeshawishi wengine kama 25 hivi wasimpigie kura...je, nina kosa gani hapo?
Nina uhakika kuna mwingine kama mimi upande wa pili - naye ruksa.... si ndiyo demokrasia yenyewe hiyo?