Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

Thanks, Diamond hahukumiwi kwa yeye kuwa CCM bali kutokemea matendo maovu yaliyotendwa na chama chake.

Hili nilishakujibu ila unajitoa akili, nimekuuliza ni msanii gani alikemea hayo matendo maovu Katika hawa wasanii wetu wakubwa?
 
Hili nilishakujibu ila unajitoa akili, nimekuuliza ni msanii gani alikemea hayo matendo maovu Katika hawa wasanii wetu wakubwa?
Nafikiri umeshaelewa kwanini wanasema hawatampigia diamond kura, have a nice day.
 
Sasa kwa akili ya kawaida Sadala angeshinda vipi kwa wale watu waliowekwa naye kwenye category moja?

Angeshinda labda angewekewa Lavalava ,Mboso ,Zuchu na Rayvanny
 
Nimewafatilia sana hawataki kupingwa kabisa, ukiwapinga sana unachezea block, mimi nilimshangaa Kigogo badala ya kupambana na Niki wa pili, anamshambulia mke wa Niki
Kupambana na adui lazima utafute angle zote zenye weakness ndo utamweza
 
Kama yanga wanawapokea wapinzani wa Simba airport mnashangaa nini wapinzani wa Diamond kumpigia kura mwingine?
 
Kupambana na adui lazima utafute angle zote zenye weekness ndo utamweza
Kupambana na adui lazima utafute angle zote zenye weekness ndo utamweza
Kupambana na adui lazima utafute angle zote zenye weekness ndo utamweza
Mtu dhaifu ndio hujadili watu, ila mtu imara hujadili hoja, Ata kigogo ni dhaifu Sana badala kujadili hoja na Niki, yeye anamjadili asie husika
 
Basi kumbe hata wanayanga tusimpigie kula ati kwa kigezo kwamba anashabikia simba na kutuponda sisi ni utopolo
 
Kama yanga wanawapokea wapinzani wa Simba airport mnashangaa nini wapinzani wa Diamond kumpigia kura mwingine?
Hatushangai kumpigia kura mwengine, tunachoshangaa ni kujadili uccm wa Diamond, wakati wasanii wengi ni ccm, hapa ndio tunapinga hoja hii dhaifu
 
kila mtu yupo huru kuamua anachotaka yeye,
ni sahihi kabisa Diamond kuwapigia debe CCM.
ni sahihi kabisa wanaharakati kumpigia debe Burnaboy.
 
Ahahaha umeona hoja zilivyo nyepesi, halafu wanataka Uhuru wa kutoa maoni, wakati Uhuru huo Ata wao umewashinda
Mimi naona wanaosema hawatampigia kura Diamond na kufanya kampeni ya kufanikisha ni haki yao.
Halikadhalika na wale wanaofanya kampeni ya kumpigia kura Diamond nao pia wapo sahihi - ni haki yao.

Siielewi hii hoja ya hawa wawili eti mmoja kumnyima uhuru wa maoni mwenziwe - kivipi?

Mimi kwa mfano sitampigia kura Diamond na tayari nimeshawishi wengine kama 25 hivi wasimpigie kura...je, nina kosa gani hapo?
Nina uhakika kuna mwingine kama mimi upande wa pili - naye ruksa.... si ndiyo demokrasia yenyewe hiyo?
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwani mwanamziki anaeitaka brand yake alikuwa na ulazima gani wa kuhangaika na kampeni? viva Joh Makini huu upuuzi huwa huutaki.

kura kwa Burn Boy anatosha
 
Back
Top Bottom