DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji117]Tumezoea unaoga uchafu unatoka mwilini, sasa ile unaoga afu uchafu unarudi Kwenye maji Yale Yale Ni KERO Sana kiukweli.
[emoji117]Unaharaka zako unahitaji uoge chap chap uende zako afu unakutana na mtihani wa kutumbukia mzima mzima ujiloweke kwanza Kwenye beseni.
Ni kupotezeana muda kiukweli.
[emoji117]Unaharaka zako unahitaji uoge chap chap uende zako afu unakutana na mtihani wa kutumbukia mzima mzima ujiloweke kwanza Kwenye beseni.
Ni kupotezeana muda kiukweli.