Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Sisi was ndoo na kopo bafuni hata hatujui tushauri nini tuko na full stress
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ukae aiseeMi huwa nasimama humohumo siwezi kukaa humo
Sidhani kama kuna bathroom yenye bathtub tu peke yake bila kuwa na shower head. Kwa sababu kwanza kuoga kwenye bathtub ni leisure, lazima uwe na utulivu/muda. Pale unapohitaji haraka haraka unatumia shower.Sasa Wengine bafuni wako na ilo tu
Yanaitwa Mundende yapo mengi kongoMkuu
Kuna majani huwa yanawekwa kwenye hizo
bathtub ….
Kama una maradhi au stress za tozo zinaondoka…..
Pia yanaongeza umri wa kuishi…..haijalishi
changamoto za tozo, Mgao wa umeme wala maji….
Mwenye kuyajua hayo majani ayaweke hapa…..
Shukrani!
Jina la lodge tafadhali na ni shingap maana lodge zetu hizi za 15k hamna mambo hayoNilikuwa lodge fln nikalikuta hill, yaan kila muda naoga afu nakojolea humo bas nasikia raha kwel, kajaribu kuko jolea humo usikie raha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Temeke kwa sokota ipo Lodge moja inaitwa Crescent room 25k lipo hilo dubwasha ila binafsi halikunivutia maana nimelikuta lichafu afu nilikua na ugwadu wa mbususu ya mtalaka wanguJina la lodge tafadhali na ni shingap maana lodge zetu hizi za 15k hamna mambo hayo
Halijakuvutia wakati ulikua unaoga kila saa na kukojolea [emoji23][emoji23]Hapa Temeke kwa sokota ipo Lodge moja inaitwa Crescent room 25k lipo hilo dubwasha ila binafsi halikunivutia maana nimelikuta lichafu afu nilikua na ugwadu wa mbususu ya mtalaka wangu
Hapana, sikulitumia kabisa mkuuHalijakuvutia wakati ulikua unaoga kila saa na kukojolea [emoji23][emoji23]
Ah kumbe evonik ndo alifanya hiyo michezo nimechanganya mkuu[emoji23][emoji23]Hapana, sikulitumia kabisa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa fala sanaNilikuwa lodge fln nikalikuta hill, yaan kila muda naoga afu nakojolea humo bas nasikia raha kwel, kajaribu kuko jolea humo usikie raha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna stress ni raha tupu!Sisi was ndoo na kopo bafuni hata hatujui tushauri nini tuko na full stress
He! kumbe umegeuza ni choo kabisa!Nilikuwa lodge fln nikalikuta hill, yaan kila muda naoga afu nakojolea humo bas nasikia raha kwel, kajaribu kuko jolea humo usikie raha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa lodge fln nikalikuta hill, yaan kila muda naoga afu nakojolea humo bas nasikia raha kwel, kajaribu kuko jolea humo usikie raha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Bath tub si kwa ajili ya kuoga, ni kwa ajili ya relaxation, unalitumia ukiwa na muda wa ku relax, unakuwa hata na simu unachati na juisi, ukitaka kuoga lazima pawe na shower, humo kwenye bath tub utatumia kusimama tu lakini maji yatatoka kwenye showerUnaweza kutoa kile kitu inayotoa, kuyaondoa maji, kublock maji ukabadilisha mara kadhaa utakavyo ikikupendeza. Wengi wa bathtub na shower. Bathtub ni ukiwa free huna haraka hauendi kazini otherwise unatumia shower head.