Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Waipe wizara ya afya hizo hela wanunue machine ya ct scan ifungwe hospitali ya Mbeya
Kwakuwa wanagawa bodaboda siyo?
Good ideal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waipe wizara ya afya hizo hela wanunue machine ya ct scan ifungwe hospitali ya Mbeya
Mama achana na kiingereza, siyo kiwango chako! Hapo wamesoma alama za nyakati!
Kamati ya Bunge la katiba imesitisha siwa kutokana na gharama kubwa ya utengenezaji wake. Eti wananchi hawatawaelewa
=================================
Maelezo ya Mjadala huo wa Fimbo hiyo Fuata | https://www.jamiiforums.com/katiba-...a-zaidi-ya-milioni-500-kutengeneza-fimbo.html
![]()